Dodoma FM
Dodoma FM
9 June 2023, 1:12 pm

Na Lonard Mwacha.
Msanii wa kizazi kipya kutoka Dodoma Suleiya Abdi ameweka wazi dhamira yake ya kuwasaidia mabinti walioshindwa kutimiza ndoto zao kutokana na mimba za utotoni ili waweze kujikwamua kiuchumi.