Hospitali ya Benjamini Mkapa imesaini makubaliano
7 February 2023, 9:52 am
Hospitali ya Benjamin Mkapa imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma za upasuaji wa moyo kwa watoto na shirika lisilo la kiserikali la children’s heart charity association la Nchini kuwait.
Na Mindi Joseph.
Hii ni kufuatia matatizo ya moyo kwa watoto kuwa tatizo kubwa kwani zaidi ya watoto elfu 3400 kila mwaka huzaliwa na matatizo ya moyo.
Mkurugenzi wa Hospitali ya Benjamin Mkapa. Dkt. Alphonce Chandika hapa anasema.
Kwa upande wake Mkurungenzi Msaidizi Wizara ya afya Caroline Damian anaainisha kuwa hii inasaidia kupunguza gharama kubwa ya matibabu.
Naye Balozi wa Tanzania nchini Kuwait Said Mussa amesema ushirikiano huo una tija.
Watoto zaidi ya mia 100 watafanyiwa uchunguzi na kupata matibabu ya upasuaji wa moyo.