Dodoma FM
Dodoma FM
2 June 2021, 9:27 am
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa mtaa wa chitelela Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wameendelea kukabiliwa na changamoto ya kukosa huduma ya maji safi na salama kwa muda mrefu. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa eneo hilo wamedai…
2 June 2021, 6:42 am
Na; Mariam Kasawa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kwa Azizi Ali mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi katika barabara…
1 June 2021, 2:10 pm
Na;Yussuph Hans. Serikali imeongeza bajeti kwa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA kwa mwaka wa fedha 2021/22 kwa ajili ya matengenezo ya Barabara maeneo mbalimbali Nchini. Hayo yamebainishwa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za…
1 June 2021, 1:46 pm
Na; Shani Nicolous. Kuelekea siku ya mtoto wa Afrika juni 16 shirika la Mercy Empowerment Foundation limeandaa kambi ya watoto ya siku tatu kwaajili ya kuwafundisha stadi za kazi. Mercy Empowerment Foundation ni shirika linalojihusisha na masuala ya watoto, Vijana,…
1 June 2021, 11:53 am
Na ;Victor Chigwada. Wadau wa sekta ya kilimo na mifugo wameelezea namna watakavyotumia utabiri wa hali ya hewa kufanikisha kazi zao kwa ufanisi zaidi. Wakizungumza katika warsha iliyofanyika katika chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo iliyo andaliwa na mamlaka ya…
1 June 2021, 10:29 am
Na; Mariam Matundu. Waziri mkuu wa Jmuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Kassimu Majaliwa ameliagiza jiji la Dodoma kuweka mpango mkakati wa maeneo yaliyopimwa na yanayopimwa kupandwa miti ili kuifanya Dodoma kuwa ya kijani . Waziri mkuu ametoa kauli hiyo wakati…
1 June 2021, 6:09 am
Na; Benjamin Suluwano. Wafanyabiashara wa soko la sabasaba wameiomba serikali kutafuta njia mbadala ya kurahisisha usafirishaji wa mizigo kutoka soko la Job Ndugai kwenda sokoni . Wakizungumza na Dodoma fm baadhi ya wafanyabiashara wamesema wanaomba wapunguzie ushuru na serikali iongeze…
31 May 2021, 3:56 pm
Na; Rabiamen Shoo. MKUU wa Mkoa wa Dodoma Antony Mtaka amelitaka Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kuandaa mkutano wa tathimini ya maonyesho ya vyuo vya ufundi ili kuona tija ya maonyesho hayo. Kauli hiyo aliitoa jana mara…
31 May 2021, 3:36 pm
Na;Yussuph Hans. Wito umetolewa kwa Viongozi wa dini kuendelea kuimarisha Malezi na mafundisho ya kiroho ndani ya jamii ili kuepusha mmomonyoko wa maadili na kujenga kizazi bora. Wito huo umetolewa na wakazi jijini hapa wakati wakizungumza na taswira ya habari…
31 May 2021, 12:54 pm
Na; Shani Nicolous. Wakazi wa mtaa wa Ilazo kati kata ya Ipagala jijini Dodoma wamelalamikia ucheleweshwaji wa uondoshaji wa taka takika mazingira yao hali inayosababisha kuzagaa kwa uchafu mtaani. Wakizungumza na Dodoma fm wakazi hao wamesema kuwa kuna wakati taka…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-