Recent posts
16 August 2021, 2:12 pm
Serikali yazindua mfumo wa kielectroniki wa uratibu na ufuatiliaji wa shughuli…
Na; Fred Cheti. Serikali kupitia Ofisi ya Waziri mkuu (Sera ,bunge,kazi,ajira,vijana na watu wenye ulemavu) leo Agosti 16 imezindua mfumo wa kielektroniki wa uratibu na ufuatiliaji wa shughuli za serikali. Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika leo jijini Dodoma waziri mwenye…
16 August 2021, 1:44 pm
Wakazi Mkoani Dodoma walalamikia kukosa taarifa juu ya mikopo ya asilimia kumi
Na;Yussuph Hans. Wakazi mkoani Dodoma wamelalamikia kukosa taarifa juu fursa ya mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na kila halmashauri nchini kwa vikundi vilivyosajiliwa vya vijana, wanawake na Watu wenye ulemavu. Wakizungumza na kitu hiki wakazi hao wamesema kuwa wanapata changamoto…
16 August 2021, 1:33 pm
Jamii yaombwa kumsaidia mtoto Feisal
Na; Mariam Matundu. Jamii imeombwa kumsaidia mtoto faisal ambae amezaliwa na uleamvu kupata bima ya afya na mahitaji mengine muhimu kwa kuwa anaishi katika mazingira magumu. Mtoto faisal anaishi na mama yake huku baba mzazi wa mtoto huyo hajulikani alipo,mwandishi…
16 August 2021, 1:21 pm
Maafisa biashara watakiwa kuzingatia utoaji bora wa huduma
Na;Mindi Joseph. Maafisa Biashara wametakiwa kuzingata Utoaji wa huduma bora ili kuchangia wafanyabiashara kurasimisha biashara zao na kuingia katika zama za ushindani wa kibiashara. Akizungumza leo jijini Dodoma katika ufunguzi wa mafunzo ya maafisa bisahara Afisa Mtendaji Mkuu BRELA Bw.…
13 August 2021, 12:24 pm
Wakulima wilayani Kondoa washauriwa kuhifadhi mazao yao kwa njia ya asili na kis…
Na; Benard Filbert. Ikiwa ni wakati wa mavuno wakulima katika Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma wameshauriwa kuhifadhi mazao yao kwa njia za asili na kitaalamu ili kuepuka kupatwa na sumu kuvu ambayo ni hatari kiafya. Ushauri huo umetolewa na mkuu…
12 August 2021, 11:48 am
Wakazi wa Ndachi watarajia ahueni ya migogoro ya ardhi baada ya zoezi la upimaji…
Na; Mariam Matundu. Kufutia mgogoro wa ardhi wa muda mrefu katika Mtaa wa Ndachi Jijini Dodoma hatimae wakazi wa Mtaa huo wanatarajia kupata ahuweni kutokana na kukamilika kwa upimwaji wa viwanja. Taswira ya habari imezungumza na mwenyekiti wa mtaa huo…
12 August 2021, 11:27 am
Ukarabati wa barabara katika kata ya Dabalo utachangia kukua kwa maendeleo
Na; Benard Filbert. Kufuatia Kukamilika kwa ukarabati wa barabara za ndani ya kata ya Dabalo wilayani Chamwino itasaidia kukua kwa maendeleo ya wakazi wa kata hiyo. Hayo yameelezwa na Diwani wa kata hiyo bwana Isihaka Rajabu wakati akizungumza na taswira…
12 August 2021, 11:15 am
Zaidi ya Asasi 1000 zinatarajia kushiriki katika wiki ya Azaki 2021 jijini Dodom…
Na;Mindi Joseph . Zaidi ya Asasi 1000 zinatarajia kushiriki katika wiki ya azaki mwaka 2021 Jijini Dodoma ili kuleta uelewa wa mchango wa asasi za kiraia Nchini. Akizungumza mapema leo na waandishi wa habari Jijini Dodoma kwa niaba ya kamati…
11 August 2021, 12:48 pm
Wakazi Mkoani Dodoma waomba kuboreshewa huduma kupitia mfuko wa jamii wa CHF
Na;Yussuph Hans. Wakazi mkoani hapa wameomba kuboreshewa huduma zinazopatikana kupitia mfuko wa afya wa jamii (CHF) hususani maeneo ya vijijini ikiwemo vipimo pamoja na upatikanaji wa dawa katika vituo vya afya. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wakazi hao wamesema…
11 August 2021, 12:35 pm
Ongezeko la watu katika kijiji cha Sunya Kiteto lapelekea shida ya maji kukikab…
Na; Selemani Kodima. Imeelezwa kuwa Ongezeko la watu na mahitaji ya maji katika kata ya Sunya wilayani kiteto imesababisha kuongezeka kwa changamoto ya maji katika baadhi Vijiji hususani Kijiji cha Sunya. Hayo yameelezwa na Baadhi ya Wanakijiji wa kijiji cha…