Recent posts
13 September 2021, 12:57 pm
Rais Samia awataka mawaziri wapya kwenda kufanya kazi kwa bidii
Na; Fred Cheti. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu amewataka mawaziri wapya aliowateua siku ya jana kwenda kufanya kazi kwa bidii ili kuleta mabadiliko katika wizara walizochaguliwa na kwa watanzania kwa ujumla. Rais Samia ameyasema hayo…
13 September 2021, 11:55 am
Jamii yaaswa kuepuka matumizi ya sigara wakati huu wa mapambano dhidi ya uviko 1…
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kuepuka uvutaji wa sigara hususani wakati wa mapambano dhidi ya UVIKO 19. Akizungumza na Taswira ya habari Dr. Missani Yango kutoka hospitali ya mkoa amesema kuwa sigara ina mchango mkubwa katika kueneza ugonjwa…
13 September 2021, 8:30 am
Rais Samia afanya uteuzi wa nafasi mbalimbali
13 September 2021, 6:08 am
MAGAZETI YA LEO 13 SEPTEMBER 2021
12 September 2021, 9:51 am
Magazeti ya leo 12 Septemba 2021
9 September 2021, 1:20 pm
Waziri Ummy apiga marufuku walimu kuhama kabla ya kupeleka walimu wengine
Na;Mindi Joseph . Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe Ummy Mwalimu amepiga marufuku kuhamisha walimu kutoka katika Halmashauri zilizoko pembezoni Nchini kabla ya kupeleka walimu mbadala. Akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi Tawi la…
7 September 2021, 2:32 pm
Serikali yapiga marufuku watoto wadogo kutumikishwa kuchunga mifugo
Na;Yussuph Hans. Serikali Nchini imepiga marufuku Watoto wadogo kutumikishwa kuchunga mifugo kwani wanahitajika kwenda Shule pamoja na kwamba hawamudu kundi kubwa la Mifugo. Hayo yamebanishwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa katika Mkutano…
7 September 2021, 2:19 pm
Vijana nchini wametakiwa kufuatilia matangazo ya kujiunga na vyuo mbalimbali ili…
Na; Selemani Kodima . Vijana nchini wametakiwa kufuatialia kwa makini matangazo yanayotolewa na ofisi ya Waziri mkuu hususani ya kujiunga na vyuo mbalimbali ilikuongeza ujuzi. Hayo yamesemwa na mwakilishi wa vijana bungeni pamoja na mwakilishi wa watu wenye mahitaji maalumu…
7 September 2021, 2:11 pm
Wizara ya kilimo yaombwa kuupa mkoa wa Dodoma kipaumbele katika upatikanaji wa m…
Na;Mindi Joseph . Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Mh Jabiri Shekimweri ameiomba wizara ya kilimo kuhakikisha Mkoa wa Dodoma unapewa kipaumbele katika upatikanaji wa mbengu bora za kilimo ili kutatua adha ya mbegu kwa wakulima. Akizungumza na Taswira ya…
6 September 2021, 12:12 pm
Wazee waliopo katika makazi ya wazee Sukamahela wilayani Manyoni waishukuru seri…
Na; Mariam Matundu. Katika kuelekea siku ya wazee duniani wazee wanaoishi katika makazi ya wazee sukamahela wilayani manyoni wameishukuru serikali kwa kufanya ukarabati katika majengo ya makazi hayo ikiwa ni pamoja na wazee hao kupata uhakika wa chakula kila siku…