Recent posts
16 September 2021, 3:09 am
MAGAZETI YA LEO 16 SEPTEMBER 2021
15 September 2021, 2:48 pm
Uelimishaji na uhamasishaji wa sensa utasaidia kuongoza uelewa kwa jamii
Na ;Shani Nicolous . Siku moja baada ya uzinduzi wa mpango wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 uliofanyika jana baadhi ya wananchi wameeleza kuwa mpango huo utasaidia kuongeza uelewa katika jamii juu ya…
15 September 2021, 2:30 pm
Serikali yaanzisha ukaguzi wa mabasi ya abiria ili kubaini usafirishaji wa watot…
Na; Mariam Matundu. Serikali kwa kushirikiana na Wadau wa kutokomeza watoto wanaoishi mitaani wameazimia kuanza ukaguzi wa magari ya abiria ili kubaini usafirishaji wa watoto kwa lengo la kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani. Hayo yamefikiwa katika…
15 September 2021, 2:12 pm
Mbunge wa Dodoma mjini amewataka vijana kufanya kazi kwa weledi
Na;Mindi Joseph. Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Athony mavunde amewataka vijana kufanya kazi kwa weledi pindi wanapopata nafasi ya kuaminiwa kufanya kazi Kwenye Taasisi mbalimbali Nchini. Akizungumza na taswira ya Habari Mh Mavunde amesema vijana wanapopewa jukumu la kufanya kazi…
15 September 2021, 3:37 am
MAGAZETI YA LEO 15 SEPTEMBER 2021
14 September 2021, 2:10 pm
Jamii imetakiwa kuacha dhana potofu ya kufikiria mwanamke hawezi kuongoza baadhi…
Na; Benard Filbert. Kufuatia Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kumteua Dokta Stergomena Tax kuwa waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa jamii imetakiwa kuondoa dhana potofu iliyopo kwenye jamii kuwa mwanamke hawezi kuongoza wizara…
14 September 2021, 1:58 pm
Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia katika uongozi mbalimbali hapa Nchini unawezeka…
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia katika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini unawezekana kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassani anaonesha nia ya dhati katika kufikia hilo kutokana na teuzi mbalimbali anazozifanya. Hayo yameelezwa na mratibu wa mradi…
14 September 2021, 3:13 am
MAGAZETI YA LEO 14 SEPTEMBER 2021
13 September 2021, 1:35 pm
Wilaya ya Kongwa yaja na mkakati wa kulima mashamba yote ya shule za sekondari n…
Na; Beanard Filbert. Mkuu wa wilaya ya Kongwa Remidius Emannuel amesema wilaya hiyo imeweka mkakati wa kulima mashamba yote ya shule za msingi na sekondari katika wilaya hiyo lengo ikiwa wanafunzi wote kupata chakula shuleni na kudhibiti tatizo la lishe…
13 September 2021, 1:21 pm
Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani wametajwa kuwa katika hatari ya kufanyiw…
Na;Mariam Matundu. Watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani wametajwa kuwa katika hatari ya kufanyiwa vitendo vya ukatili ikwemo kubakwa na kulawitiwa pamoja na kutumikishwa katika magenge yakihalifu. Hayo yamesemwa na katibu mkuu wizara ya afya maendeleo ya jamii jinsia wazee…