Recent posts
20 September 2021, 12:04 pm
Jamii yaaswa kuacha tabia ya kuchangia nguo ili kuepuka magonjwa ya kuambukizwa
Na; Alfred Bulahya. Jamii imeshauriwa kuacha kuchangia nguo na badala yake kila mmoja atumie mavazi yake ili kuepusha kupata maambukizi ya magonjwa mbalimbali ya kuambukiza. Wito huo umetolewa na Tabibu Joseph Zabron Kusanya wakati akizungumza na Taswira ya habari ofisini…
20 September 2021, 11:54 am
Matumizi ya pombe katika mikusanyika yachangia maambukizi ya uviko 19
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa matumizi ya pombe katika jumuiya na kwenye mikusanyiko yanachangia kwa kiasi kikubwa maambukizi ya uviko 19. Akizingumza na Taswira ya habari Dr. Missan Yango kutoka hospitali ya Mkoa Dodoma amesema kuwa kutumia pombe sehemu za…
20 September 2021, 11:42 am
Baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC) lazindua kanzi data ya wa…
Na; Mariam Matundu . Baraza la taifa la uwezeshaji wananchi Kiuchumi (NEEC)linatarajia kuzindua Kanzi data ya wafanyabiashara wa Tanzania ili kuongeza wigo wa uwekezaji. Hayo yamesemwa na Katibu Mtendaji wa baraza hilo Beng’i Issa wakati alikitoa taarifa juu ya Kongamano…
18 September 2021, 3:14 am
MAGAZETI YA LEO 18 SEPTEMBER 2021
17 September 2021, 1:54 pm
Uelewa hafifu juu ya sheria za usafi wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa u…
Na ;FRED CHETI . Inaelezwa kuwa uelewa hafifu kuhusu sheria ndogo za usafi wa mazingira na rasilimali za asili umekua ukichangia kwa kiasi kikubwa uchafuzi wa mazingira katika jamiii. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wakazi Jijini Dodoma wakati wakizungumza na…
17 September 2021, 1:44 pm
Ongezeko la watu wilayani Bahi lapelekea uhita wa maji zaidi
Na; Benard Filbert. Licha ya mji wa Bahi Mkoani Dodoma kupokea fedha kiasi cha shilingi million 120 kwa ajili ya kuchimba kisima kipya ili kuongeza upatikanaji wa maji bado juhudi zinahitajika kutokana na wingi wa watu katika eneo hilo. Hayo…
17 September 2021, 4:01 am
MAGAZETI YA LEO 17 SEPTEMBER 2021
16 September 2021, 2:01 pm
Vyombo vya ulinzi na usalama vyaagizwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watu…
Na;Mindi Joseph . Waziri wa Mambo y a Ndani ya Nchi George Simbachawene ameviagiza Vyombo vyote vya ulinzi na usalama Nchini kuanza kuchukua hatua za kisheria kwa wale ambao wanatumia mitandao ya kijamii vibaya ikiwemo kudhalilisha viongozi.Akizungumza leo Mtumba Jijini…
16 September 2021, 12:59 pm
Jamii imetakiwa kuacha kuwafanyisha kazi za ndani watoto wenye umri chini ya mia…
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha kuwachukua watoto chini ya miaka 18 kufanya kazi za ndani kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria za Nchi ya Tanzania. Hayo yameelezwa na afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Honoratha Rwegasira…
16 September 2021, 12:45 pm
Uhaba wa maji katika kata ya Msanga wapelekea wananchi kununua maji kwa bei kubw…
Na ;Victor Chigwada. Changamoto ya uhaba wa maji katika Kata ya Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma umeendelea kuwa kilio kikubwa kwa wananchi na kusababisha maji kununuliwa kwa bei kubwa. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msanga wameiomba Serikali kuwasaidia kupata…