Dodoma FM

Recent posts

19 October 2021, 11:32 am

Wakazi wa Mkoka walalamika kuendelea kukosa huduma ya maji

Na; Selemani Kodima. Licha ya kuchimbiwa visima vya maji ,Bado wananchi wa kijiji cha mkoka wilayani kongwa wamelalamika kuendelea kupata changamoto ya maji baridi. Akizungumza kwa Niaba ya Wananchi wa kijiji cha Mkoka Mwenyekiti wa kijiji cha Mkoka Bw Elia…

19 October 2021, 11:24 am

Ukosefu wa elimu kwa familia ni kikwazo kwa mtoto wa kike

Na;Mindi Joseph. Ukosefu wa elimu kwa familia imetajwa kuwa kikwazo kwa watoto wa kike kwani hushawishiwa na familia kufanya vibaya mitihani yao ya taifa ili waolewa na wazazi kuepuka kuwasomesha. Akizungumza na Taswira ya habari Denis Komba Mkuu wa idara…

19 October 2021, 11:10 am

Mwititikio wa chanjo katika kata ya zuzu walalamikiwa kuwa hafifu

Na; Shani Nicolaus. Imeelezwa kuwa Pamoja na elimu inayoendelea kutolewa kwa baadhi ya maeneo nchini juu ya chanjo ya uviko 19 lakini mwitikio wa kuchanja katika kata ya Zuzu umekuwa mdogo. Akizungungumza na Dodoma fm Diwana wa kata hiyo Mh.…

18 October 2021, 12:59 pm

Rais Samia awataka wananchi kujikinga na uviko 19 kwa kupata chanjo

Na; Fred Cheti. Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hasani amewataka watanzania kujikinga na uviko 19 kwa kupata chanjo ili kuipunguzia serikali gharama zitakazotokana na matibabu ya ugonjwa huo. Rais Samia ameyasema hayo leo octoba 18 jijini…

18 October 2021, 11:55 am

Wakazi wa kata ya Handali waaswa kuepuka kupitisha mifugo barabarani

Na; Benard Filbert. Wakazi wa kata ya Handali wilaya ya Chwamwino mkoani Dodoma wameombwa kuepuka kupitisha mifugo kwenye barabara kuepuka uharibifu ambao umekuwa ukitokea. Hayo yanajiri kufuatia hivi karibuni kukamilika kwa marekebisho ya barabara za ndani katika kata hiyo.Akizungumza na…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger