Dodoma FM

Recent posts

9 May 2023, 4:51 pm

Uvunaji hafifu wa mahindi wapelekea tishio la njaa kwa baadhi ya familia

Mkoa wa Dodoma ulijiwekea malengo ya kulima hekta 7 za chakula lakini mvua hazikunyesha kama ilivyotarajiwa hivyo kuathiri upatikanaji wa chakula kama ilivyotarajiwa kuilazimu Serikali kutoa mahindi ya bei nafuu jumla ya tani 12,747.15. Na Mindi Joseph. Uvunaji Hafifu wa…

9 May 2023, 4:26 pm

Kongwa kufuatilia miradi yote ya maji inayotekelezwa wilayani humo

Miradi mingi ya maji inayo onekana kusua sua inakwamisha utekelezaji wa ilani ya chama Cha mapinduzi suala ambalo haliwezi kufumbiwa macho. Na Benadetha Mwakilabi. Wilaya ya Kongwa imeahidi kufatiliana kufanyia kazi miradi yote ya maji inayotekelezwa wilayani humo ili kuondoa…

9 May 2023, 3:11 pm

NEMC yatoa mrejesho juu ya kufungia sehemu zenye kelele chafuzi

Mnamo tarehe Moja Mei mwaka huu baraza hilo la Taifa la uhifadhi na usimamizi wa Mazingira (NEMC) lilitangaza kuanza opresheni ya kukamata na kufungia maeneo ya kumbi za strehe,nyumba za ibada pamoja na maeneo mengine yanayosababisha mitetemo na kelele kinyume…

9 May 2023, 2:07 pm

Vijana Bahi watakiwa kujiajiri

Mtaji wa kutosha kwaajili ya kuendesha kiwanda hicho unatajwa kuwa changamoto kwa vijana hao. Na Bernad Magawa Ili kupunguza tatizo la kukosekana kwa ajira za kutosheleza vijana wote wenye sifa za kuajiriwa hapa nchini, mafundi Seremala wilayani Bahi wamewaasa vijana…

8 May 2023, 4:54 pm

Bei ya kabichi shambani yawaliza wafanyabiashara

kwa sasa wastani wa bei ya kabichi ni kuanzia shilingi 1500 hadi 2000 huku wachache wakiuza kwa bei kati ya shilingi 1000 hadi 1500 kwa kabichi moja. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa Mboga mboga aina ya kabichi Jijini…

8 May 2023, 2:59 pm

Zifahamu dalili za hatari kwa mama mjamzito

Je ni dalili zipi hizo ambazo ni hatari kwa mama mjamzito? Na Yussuph Hassan. Leo tunazugumzia dalili hatari kwa Mama mjamzito ambapo Dkt Abdallah Majaliwa kutoka hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma anaeleza kuhusu dalili hizo.

8 May 2023, 1:51 pm

Wananchi wajitokeza kuchimba Msingi ujenzi wa Madarasa Bahi

Wakazi wa kijiji cha Bahi sokoni wameeleza kupokea mradi huo kwa furaha na kuiomba serikali kuendelea kupeleka miradi ya maendeleo katika kijiji hicho. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Bahi Sokoni wilayani Bahi wamejitokeza kwa wingi kuchimba msingi wa…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger