Dodoma FM
Dodoma FM
12 May 2023, 12:42 pm
Hata hivyo Mdolwa amesema lengo la kukutana na wakurugenzi wa kampuni hizo ni kujenga uelewa wa pamoja kurahisisha utendaji na kupata matokeo chanya. Na Mindi Joseph. Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amezitaka kampuni zilizoshinda zabuni…
12 May 2023, 12:19 pm
ASP Ramadhani amesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi kasi uliosababisha gari kumshinda dereva kuacha njia na kupinduka ambapo hadi sasa dereva huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani humo. Na Bernad Magawa Wanafunzi wawili wa shule ya sekondari…
11 May 2023, 5:50 pm
Feed the Future inasaidia Nchi katika kuendeleza sekta za kilimo ili kuchochea ukuaji wa uchumi na biashara ambayo huongeza mapato na kupunguza njaa umaskini na utapiamlo. Na Mindi Joseph. Serikali kwa Kushirikiana na Sekta Binafsi imejipanga kuendeleza sekta ya kilimo…
11 May 2023, 5:06 pm
Mafunzo ya wasimamizi wa dawa tiba zenye asili ya kulevya yamehusisha wataalamu wa afya kutoka vituo mbalimbali Dodoma lengo ikiwa kuhakikisha dawa hizo zinaendelea kutumika katika lengo lako sahihi la kutibu. Na Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa watumishi wa afya…
11 May 2023, 4:26 pm
Amesema zahanati hiyo itawaondolea adha wananchi hao ya kufuata huduma za afya kituo cha afya kigwe. Na Bernad Magawa. Mbunge wa jimbo la Bahi Mheshimiwa Kenneth Nollo ametoa Millioni 16 kujenga zahanati ya kijiji cha Mapinduzi kata ya kigwe ikiwa…
11 May 2023, 11:12 am
Katibu wa Jumuiya hiyo wilaya ya Bahi Fatuma sanda amesema miradi mikubwa iliyopelekwa wilayani humo ni fahari ya wananchi . Na Bernad Magawa. Jumuiya ya Vijana wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Bahi imetoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika…
10 May 2023, 8:01 pm
Nchi ya Tanzania inashika nafasi ya 4 kuwa na wangojwa wengi ulimwenguni wa Selimundu huku wenye watoto Elfu 11000 kwa mwaka wanaweza kufa kabla ya kufikisha umri wa miaka 5 sawa na asilimia 50 hadi 90. Na Mariam Kasawa. Waziri…
10 May 2023, 7:24 pm
Hivi karibu Serikali kupitia wizara ya Nishati wanakusudia kuongeza mafungu katika Mfuko wa Nishati Vijijini ili kuongeza kasi ya kufikisha umeme katika vitongoji 36,336 . Na Victor Chigwada. Inaelezwa kuwa nishati ya umeme ni muhimu kwa maendeleo ya jamii ikiwamo…
10 May 2023, 6:34 pm
Kwa Mujibu wa kifungu cha 15 (1) cha sheria ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora sura ya 391 tume inayo mamlaka ya kuanzisha uchunguzi wake wenyewe juu ya malalamiko yanayoashiria uvunjifu wa haki za binadamu na ukiukwaji…
10 May 2023, 6:17 pm
Gharama za mradi wa Usanifu na Ujenzi WA UBORESHAJI HUDUMA YA UONDOSHAJI NA KUTIBU MAJITAKA unategemea kugharimu Dola za Marekani milioni (70) sawa na Shilingi za Tanzania bilioni 164.85. Na Selemani Kodima. Katika kukabiliana na ufanisi mdogo wa miundombinu ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-