Recent posts
10 May 2022, 3:44 pm
Ujenzi wa madarasa kata ya Suruke wakamilika
Na;Mindi Joseph. Ujenzi wa madarasa mawili ya shule ya Msingi Mluwa na sekondari Mto Bubu Kata ya Suruke Wilayani Kondoa yamekamilika baada ya kupata mgao wa shilingi milioni 182 za ujenzi wa madarasa hayo katika kuendelea kuboresha miundombini ya elimu.…
10 May 2022, 2:02 pm
Vyuo vya Afya 20 kuchukuliwa hatua kwa kufanya udanganyifu
Na:Mindi Joseph. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ameagiza NACTVATE kuvi chukuliwa hatua Vyuo 20 vya afya vilivyokaguliwa na kufanya udanganyifu ili kulinda viwango vya taaluma ya afya Nchini. Akizungumza…
6 May 2022, 3:13 pm
Mazae waendelea kupata changamoto ya maji
Na,Mindi Joseph. Changamoto ya upatikanaji wa maji bado inaendelea kuwakabili wananchi wa kijiji cha mazae wilayani mpwapwa. Taswira ya habari imezungumza na Mwenyekiti wa kijiji cha mazae steven Makasi ambapo amesema changamoto hii imekuwepo kwa muda kirefu. Ameongeza kuwa wananchi…
6 May 2022, 3:05 pm
Baadhi ya wakazi wa Ihumwa wakosa uelewa juu ya alama za mipaka
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya Wananchi wa Ihumwa wametajwa kuwa na uelewa mdogo juu ya utunzaji wa Mali na miundombinu inayowekwa na Serikali kwa lengo la kuwanufaisha wananchi. Kutokana na hayo wananchi wa Ihumwa wamesisitizana juu ya suala la kulinda…
6 May 2022, 2:42 pm
Msalaba mwekundu kuadhimisha miaka 60 ya chama chao
Na; Benard Filbert. Kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya chama cha msalaba mwekundu nchini chama hicho kimepanga kutoa elimu juu ya uviko 19 pamoja na kufanya usafi wa mazingira ikiwa sehemu ya maadhimisho hayo. Hayo yameelezwa na mratibu wa chama…
5 May 2022, 2:11 pm
Mkoa wa Dodoma kuendelea kusaidia watoto wanao ishi katika mazingira magumu
Na;Mindi Joseph. Mkoa wa Dodoma umesema utaendelea kuwasaidia watoto wanaoishi katika mazingira Magumu na hatarisha kwa kuhakikisha wanapata mahitaji muhimu. Taswira ya habari imezungumza na Afisa Maendeleo ya Jamii Mkoa wa Dodoma Bi Honoratha Rwegasira amesema uwepo wa Baraza la…
5 May 2022, 2:00 pm
Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa Mbaazi
Na; Leonard Mwacha. Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kutambua umuhimu wa zao la mbaazi kuwa lina manufaa makubwa katika matumizi mbalimbali pamoja na biashara. Wito huo umetolewa na, Mkurugenzi wa wa asasi siyokuwa ya serikali SEIDA Bw. Fredrick Ogenga, kupitia warsha…
5 May 2022, 1:42 pm
Wakazi Jijini Dodoma waiomba serikali kutatua changamoto ya upandaji wa mafuta
Na; Benard Filbert. Kutokona na kubadilika kwa mfumo wa maisha kulikosababishwa na kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta Duniani wakazi mkoani Dodoma wameiomba serikali kuangalia njia bora ya kutatua changamoto hiyo hali itakayosaidia kuwakwamua wananchi kiuchumi. Hayo yameelezwa na…
5 May 2022, 7:40 am
Elimu ya mipaka itolewe kwa viongozi wa mitaa
Na;Yussuph Hassan. Elimu ya mipaka ya ardhi katika kipindi cha Sensa ya watu na makazi imetajwa kuwa muhimu katika kuhakikisha kila eneo linafahamu kwa kina mipaka yake. Akizungumza na kituo hiki Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nzije Jijini hapa…
5 May 2022, 7:13 am
Viongozi wa Dini watakiwa kuhamasisha zoezi la sensa
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa viongozi wa dini wanayo nafasi kubwa ya kuhamasisha zoezi la sensa na makazi ambalo linatarajiwa kufanyika mwaka huu mnamo mwezi Agosti. Hayo yameelezwa na baadhi ya wakazi jijini hapa wakati wakizungumza na taswira ya habari…