Recent posts
5 October 2022, 1:50 pm
Pombe yapelekea wanaume kupata vipigo toka kwa wake zao
Na; Benard Filbert. Unywaji wa Pombe kupitia kiasi umetajwa kuchangia wanaume katika kijiji cha Kwa mtoro wilayani Chemba kupigwa na wanawake zao. Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na Taswira ya Habari baada kufika kijiji hapo umebaini kuwa baadhi ya wanaume…
4 October 2022, 12:41 pm
Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya Ebola
Na;Mariam Matundu. Wakazi wa Dodoma wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa ebola kwa kuepuka kula nyama pori ambazo hazija kaguliwa na wataalamu , kuepuka mikusanyiko pamoja na kuzingatia suala la unawaji mikono mara kwa mara. Tahadhari hiyo imetolewa Dkt…
4 October 2022, 12:25 pm
Sheria ndogo ndogo zapelekea wananchi kujenga vyoo bora Chemba
Na; Benard Filbert. Uwepo wa Sheria ndogo ndogo katika Halmashauri ya wilaya ya chemba umetajwa kusaidia wananchi kujenga vyoo bora Katika kutekeleza na kusimamizi sheria hizo ,wenyeviti wa vijiji wamepewa jukumu la kuhakikisha wananchi katika vijiji vyao wanajenga vyoo bora.…
4 October 2022, 12:03 pm
Wanafunzi wanao hitimu darasa la saba watakiwa kuto jiingiza kwenye uhalifu
Na; Victor Chigwada Wito umetolewa kwa wanafunzi wanao hitimu elimu ya msingi kuacha kujihusisha na vikundi vya uhalifu ambavyo vimekuwa gumzo kwa hivi karibuni wakati wakisubiri matokeo ya mtihani. Wito huo umetolewa na fadhila Chibago Diwani wa Kata ya Dodoma…
16 September 2022, 1:57 pm
Kata ya mnadani yaipongeza Dodoma fm Radio .
Na; Benard Filbert. Mwenyekiti wa mtaa wa Karume kata ya Mnadani Jijini Dodoma Bw Matwiga Kiatya ameipongeza Dodoma Fm kwa kuripoti habari kuhusu changamoto ya barabara katika mtaa huo ambayo kwa sasa ipo kwenye mchakato wa Ujenzi Akizungumza na taswira…
16 September 2022, 1:01 pm
Serikali yasisitiza umuhimu wa lishe bora shuleni
Na; Alfred Bulahya. Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza Jijini…
5 September 2022, 1:30 pm
Kamati ya bunge yaridhishwa na mradi wa Timiza malengo
Na; Benard Filbert. Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Masuala ya UKIMWI, Kifua Kikuu , Dawa za Kulevya na Magonjwa yasiyoambukiza imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Timiza Malengo unaotekelezwa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) unaolenga kuwawezesha vijana…
1 September 2022, 2:19 pm
Wananchi watakiwa kushiriki awamu ya tatu ya chanjo
Na; Benard Filbert. Licha ya awamu ya pili ya utoaji wa chanjo ya Polio kufanikiwa kwa asilimia 100 ,Jamii imeombwa kutoa ushirikiano katika zoezi hilo ambalo limeanza leo kwa awamu ya tatu. Rai hiyo imetolewa na mkuu wa Mkoa wa…
1 September 2022, 2:04 pm
Magonjwa yasiyopewa kipaumbele yapelekea fuko wa bima ya Afya NHIF kuelemewa
Na;Mindi Joseph . Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema uwepo wa ongezeko kubwa la magonjwa yasiyo ya kuambukiza imechangia kuelemewa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Kauli hiyo imekuja baada ya Kutokea kwa sitofahamu iliyoibuka hivi karibuni…