Recent posts
9 June 2022, 3:20 pm
Umbali wa Vitongoji Ovada wachelewesha zoezi la anuani za makazi
Na; Benard Filbert. Umbali wa vitongoji katika kata ya Ovada wilayani Chemba imetajwa kuwa changamoto iliyosababisha zoezi la anuani za makazi kutokukamilika kwa wakati katika eneo hilo. Hayo yameelezwa na diwani wa kata ya Ovada Bwana Raphael Reda wakati akizungumza…
8 June 2022, 3:10 pm
Nishati mbadala itaepusha uharibifu wa mazingira
Na; Benard Filbert. Jamii imeshauriwa kutumia nishati mbadala hali itakayosaidia kuepuka uharibifu wa mazingira hivyo kuchangia mabdailiko ya tabia ya nchi. Ushauri huo umetolewa na meneja wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya kati bwana Isdory Kilenga wakati akizungumza…
8 June 2022, 2:59 pm
Wakazi wa Pwaga waiomba Serikali huduma ya umeme
Na; Victor Chigwada. Wakazi wa Kata ya Pwaga Wilaya ya Mpwampwa wameiomba Serikali kuwafikishia huduma ya umeme. Wakizungumza na taswira ya habari wameleza changamoto hiyo imekuwa ya muda mrefu licha ya wao kujaribu kutuma maombi ya kuunganishiwa umeme. Mwenyekiti wa…
8 June 2022, 2:28 pm
Vijana watakiwa kuchangamkia fursa
Na; Lucy Lister . Vijana jijini Dodoma wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuchangamkia fursa mbalimbali zinazojitokeza na kuacha tabia ya kuchagua kazi. Akizungumza na Dodoma fm Bw. Charles Mathias ambaye anajishughulisha na suala la kuongeza thamani kupitia biashara ya…
8 June 2022, 1:36 pm
Vyuo vinavyo sajili Bunifu vyatakiwa kuwaendeleza wabunifu
Na;Mindi Joseph . Vyuo vinavyosajili Bunifu Hapa Nchini na Sekta Binafsi zimeombwa kuendelea kuwawezesha na kuwaendeleza wabunifu ili waweze kuuza kazi zao ndani na nje ya nchi. Akizungumza na Taswira ya Habari Mwenyekiti wa Baraza la Elimu ya Ufundi na…
1 June 2022, 3:04 pm
Waziri mkuu aagiza mji wa kiserikali ujengwe kwa kuzingatia upandaji miti
Na;Mindi Joseph. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameigiza Wizara ya ofisi ya waziri mkuu ,na katibu wa ofisi ya waziri mkuu ,bunge na uratibu kwa kushirikiana na timu ya wataalamu wanaosimamia ujenzi wa mji wa kiserikali kuhakikisha wanaujenga mji huo…
1 June 2022, 2:50 pm
Uhifadhi wa milima ya Tao umesema utaendelea kuhakikisha maeneo yanayo zunguka h…
Na;Mindi Joseph. Katika kuendelea kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi Mfuko wa uhifadhi wa milima ya Tao la mashariki umesema utaendelea kuhakikisha mimea,wanyama na vyanzo vya maji katika maeneo ya Hifadhi vinatunzwa. Akizungumza katika mahojiano na Dodoma Fm Afisa Miradi Kanda…
31 May 2022, 1:30 pm
Uhaba wa maji Suguta ni kikwazo cha ndoa nyingi
Na;Mindi Joseph . Wananchi Kijiji cha Suguta wilayani kongwa wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya maji ambayo inawakabili kwa Muda mrefu. Taswira ya habari imezungumza na Baadhi ya wanawake ambapo wamesema wamekuwa wakilazimika kukaa kisima kwa muda mrefu wakisubiria kuchota maji.…
31 May 2022, 1:16 pm
Halmashauri ya jiji la Dodoma yaanzisha mpango wa kufanya usafi
Na; Fred Cheti Katika kuendelea kuimarisha usafi wa mazingira jijini hapa halmsahauri ya jiji la Dodoma kwa kushirikiana na wadau mabalimbali wa mazingira imeanzisha mpango wa kufanya usafi siku ya jumamosi katika kata mabalimbali zilizopo jijini hapa. Afisa Mazingira jiji…
30 May 2022, 5:01 pm
Uchafuzi wa mazingira wachagiza mabadiliko ya hali ya hewa
Na ;Victor Chigwada. Matokeo ya mabadiliko ya Hali ya hewa nchini na hata dunia kwa ujumla yamekuwa yakichangiwa na shughuli za uchafunzi wa mazingira ikiwa ni pamoja ukataji wa misitu ovyo Suala la matumizi ya mikaa nchini limekuwa chachu ya…