Recent posts
4 July 2022, 1:30 pm
Wanaume wakwepa kushiriki suala la uzazi wa mpango
Na;Mindi Joseph. Imeelezwa kuwa wanaume wengi si washiriki wazuri katika suala la uzazi wa mpango hatua inayosababisha wanawake wanaoamini uzazi wa mpango kuamua kutumia njia za usiri na hivyo kukosekana maridhiano baina ya pande hizo. Akizungumza leo na Taswira…
4 July 2022, 1:15 pm
Wauguzi na wakunga waaswa kuepuka kupokea rushwa
Na; Benard Filbert. Wauguzi na wakunga wameaswa kuepuka kupokea rushwa katika maeneo yao ya kazi na kuwahudumia wagonjwa kwa uaminifu ili kulinda na kutunza heshima ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Jane Mazigo mkuu wa idara ya usajili na maadili…
29 June 2022, 2:34 pm
Hali ngumu ya maisha yachangia uharibifu wa mazingira
Na; Victor Chigwada. Hali ngumu ya maisha imetajwa kuwa sababu ya watu kuendelea kuharibu mazingira ikiwa Ni pamoja na ukataji wa misitu ovyo hususani maeneo ya milimani na vijijini Diwani wa Kata ya Chipanga Bw.Masumbuko Aloyce amekiri kuwa changamoto kubwa…
29 June 2022, 1:38 pm
Lishe duni yatajwa kuwa chanzo cha utapiamlo kwa watoto wa umri wa chini ya miez…
Na;Mindi Joseph. Ukosefu wa lishe bora kwa watoto wachanga chini ya miezi 6 umetajwa kuwa chanzo cha watoto kupata utapiamlo. Akizungumza na taswira ya habari Juma Swedi afisa lishe hospital ya Rufaa Mkoa wa Dodoma amesema ukuaji wa mtoto una…
28 June 2022, 9:17 am
Kisima cha maji chaleta Neema kwa wakazi wa Farkwa.
Na ;Victor Chigwada. Kupatikana kwa mita ya kisima Cha maji katika Kijiji cha Farkwa imesaidia kupunguza changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo Bw.Stephano Patrick amekiri hali ya upatikanaji wa maji Kijiji…
28 June 2022, 8:43 am
Chigongwe walalamikia ukosefu wa nyumba za walimu
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Chigongwe jijini Dodoma wamelalamikia ukosefu wa nyumba za walimu pamoja idadi ndogo ya walimu katika shule ya msingi Ngh’ambala. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa changamoto ni idadi…
28 June 2022, 8:09 am
Ukosefu wa Elimu ya mikopo wakwamisha marejesho Bahi.
Na;Mindi Joseph. Vikundi vya wanawake na watu wenye ulemavu katika halmashauri ya Bahi Mkoani Dodoma vimeshindwa kurejesha mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 58.28. Chanzo cha kushindwa kurejesha mikopo hiyo kinatajwa kuwa ni kutokuwa na elimu ya ujasiriamali na namna…
24 June 2022, 4:15 pm
Wizara ya Maendeleo ya jamii yaja na kampeni ya SHUJAA WA MAENDELEO NA USTAWI WA…
Na; Bennard Filbert Kampeni ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyozinduliwa na wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na watoto iliyopewa jina la SHUJAA WA MAENDELEO NA USTAWI WA MAENDELEO TANZANIA inaendelea jijini Dodoma kwa lengo la kutoa elimu katika jamii…
23 June 2022, 2:43 pm
Wakazi wa mgodi wa Nholi waomba kupatiwa huduma za kijamii
Na; Victor Chigwada. Kukosekana kwa huduma za kijamii katika maeneo ya migodini kumekuwa kukisababisha changamoto mbalimbali licha ya migodi kuwa chanzo cha mapato kwa serikali. Mkemia mkuu wa mgodi mwa Nholi Bw.Renatusi Lukumila amekiri kuwa mgodi wa Nholi bado miongoni…
23 June 2022, 2:33 pm
Serikali yaombwa kufanyia mabadiliko sheria ya mtandao
Na;Mindi Joseph . Serikali imeombwa kufanya mabadiliko katika sheria ya Mtandao ambayo imetajwa kuwa na mapungufu na kuchangia watu kuchapisha na kutuma taarifa za watu mtandaoni pasipo kuwa na idhini ya wahusika. Taswira ya habari imezungumza na Mwanasheria kutoka Taasisi…