Dodoma FM
Dodoma FM
20 November 2025, 3:46 pm
Wameiomba mamlaka husika kuwasaidia kujaza kifusi kinachoweza kustahimili msimu wa mvua . Na Victor Chigwada.Wakazi wa kijiji cha Mpwayungu, wilaya ya Chamwino wameeleza matesowanayo pitia kufuatia ubovu wa barabara hali inayo kwamisha shughuli zao. Wamesema kuwa ubovu huo wa miundombinu…
20 November 2025, 3:20 pm
Ikumbukwe kuwa kwa mujibu wa sheria ya PPRA, taasisi za serikali zinatakiwa kutenga asilimia 30 ya bajeti ya ununuzi wa umma kwa ajili ya makundi maalum ya wanawake, vijana, wazee na watu wenye ulemavu. Na Seleman Kodima.Mamlaka ya Udhibiti wa…
20 November 2025, 2:14 pm
Dkt. Fransis ameipongeza serikali kwa kuendelea kuboresha huduma za afya na kusisitiza umuhimu wa kila mwananchi kuwa na bima ya afya ili kurahisisha upatikanaji wa matibabu pindi wanapohitaji huduma. Na Anwary Shaban.Shirika la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kuongezeka kwa magonjwa…
20 November 2025, 1:38 pm
Mwenyekiti amewataka wananchi, pindi linapotokea jambo, kukaa pamoja na kufanya maridhiano badala ya kuchukua uamuzi unaoweza kuleta athari kwa wananchi wengine. Na Farashuu Abdallah.Wananchi wa Mtaa wa Bwawani kata ya Mkonze jijini Dodoma wameiomba serikali iwasaidie kutatua mgogoro wa ardhi…
19 November 2025, 4:35 pm
Mashindano hayo yametamatika katika viwanja vya KDC Chang’ombe jijini Dodoma. Mashindano ya Draft na bao la kiswahihi yametamatika katika viwanja vya KDC Chang’ombe huku timu mbalimbali zikiibuka na ushindi. Akiongea na Taswira ya habari Anthony Kalago mratibu wa mashindano hayo…
19 November 2025, 4:16 pm
WHO inathibisha kupungua kwa kiwango kikubwa kwa magonjwa ya mlipuko. Na Anwary Shaban.Shirika la Afya Duniani – WHO – limethibitisha kupungua kwa kiwango kikubwa kwa magonjwa ya mlipuko duniani. Hatua hii inachukuliwa kuwa ushindi mkubwa katika mapambano dhidi ya maradhi…
19 November 2025, 3:50 pm
Hata hivyo, wapiga picha hao wameeleza kuwa wanakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutolewa maneno ya kashfa na baadhi ya wateja pindi wanapojaribu kuonesha ubunifu wao kwa lengo la kuwashawishi kupata huduma. Na Farashuu Abdallah.Katika jitihada za kupambana na changamoto ya…
19 November 2025, 2:16 pm
Mwandishi wetu Selemani Kodima ametuandalia Uchambuzi mfupi Na Seleman Kodima.Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kuwaapisha mawaziri 27 na manaibu 29 wa baraza jipya la Mawaziri ,ipo mitazamo tofauti juu ya Baraza hilo.…
19 November 2025, 1:55 pm
Wakili Jacquiline amesisitiza endapo baba anakataa au anashindwa kutoa matunzo, mama anaweza kufika ofisi za Ustawi wa Jamii au kufungua kesi mahakamani, ambapo mahakama inaweza kuamuru baba kugharamia chakula, elimu, afya na makazi ya mtoto kulingana na kipato chake. Na…
17 November 2025, 4:07 pm
Wito huo umetolewa na Bi. Florian Kazi, mwakilishi wa shirika la External International kutoka China, linalojihusisha na utoaji tiba kwa magonjwa sugu bila upasuaji, katika semina fupi iliyofanyika kanisa la Mt. Joseph, Ihumwa jijini Dodoma. Na Victor Chigwada.Wananchi wametakiwa kutumia…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-