Dodoma FM
Dodoma FM
27 November 2025, 3:20 pm
Wadau wa maendeleo wanaotekeleza afua za usalama wa watoto mtandaoni wameahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali ili kuhakikisha watoto wanalindwa dhidi ya aina zote za ukatili, hususan ukatili wa mtandaoni. Na Mariam Matundu.Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake…
27 November 2025, 2:04 pm
Pamoja na hayo Wananchi wa Chamwino wamesisitiza kuwa elimu ya kitaalamu kuhusu namna ya kukabiliana na tembo itasaidia kupunguza madhara na kuimarisha usalama wa jamii pamoja na mazao yao. Wananchi wa vijiji vya Chinugulu na Manda, tarafa ya Mpwayungu, Wilaya…
26 November 2025, 3:33 pm
Kuwa kulinda amani ni jukumu la kila Mtanzania na ni msingi muhimu wa kuendeleza umoja. Na Anwary Shaban.Wananchi katika Jiji la Dodoma na Watanzania kwa ujumla wamehamasishwa kuendelea kulinda na kudumisha amani ya nchi muda wote. Kauli hiyo imetolewa jijini…
26 November 2025, 3:12 pm
Ikumbukwe kuwa Kupitia bajeti ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2025/26, Serikali imepanga kuimarisha miradi ya maji vijijini, kujenga mabwawa mapya, na kuongeza uwezo wa miundombinu ya maji ili kukidhi ongezeko la watu na kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu…
26 November 2025, 2:04 pm
Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na changamoto za usalama, ushindani, gharama za uendeshaji na mahitaji ya kisheria. Na Mariam Kasawa.Vijana wametakiwa kujituma katika shughuli mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi na kuacha kuamini kwamba kazi ya bodaboda ni suluhisho pekee kwa kila…
26 November 2025, 1:44 pm
Wameeleza kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi akina mama na kuhatarisha afya za jamii. Na Victor Chigwada.Maji ni uhai, lakini wakazi wa Kijiji cha Mzula, kata ya Muungano, Wilaya ya Chamwino, bado wanakabiliana na changamoto ya upatikanaji wa huduma hiyo muhimu…
25 November 2025, 3:53 pm
Pambano hilo linatarajiwa kuchezwa novemba 29 katika viwanja vya mambo Poa. Mwandaaji wa pambano hilo Bw. Yuko Kiando ameeleza maandalizi ya pamabano hilo ambalo linatarajia kufanyika Novemba 29 huku tiketi zikipatikana barabara ya 11. Nao baadhi ya mabondia wakapata nafasi…
25 November 2025, 3:22 pm
Ikumbukwe kwua Kazi ya ukusanyaji taka rejeshi imeelezwa kuwa ni sehemu muhimu ya uhifadhi wa mazingira na chanzo cha mapato kwa watu wengi, hivyo jamii inapaswa kuondoa dhana hasi na kutambua mchango wa wahusika wa kazi hiyo. Na ;Anwary Shaban.Jamii…
25 November 2025, 2:19 pm
Ni wajibu wa vijana kuhudhuria mikutano ya mtaa ili kupata nafasi ya kushiriki kikamilifu katika shughuli za kimaendeleo. Na Lilian Leopold.Vijana wametakiwa kuongeza ushiriki wao katika mikutano ya mtaa ili kufahamu fursa zilizopo kwenye jamii na kupata nafasi ya kuwasilisha…
25 November 2025, 1:19 pm
Hata hivyo chanjo ni ngao ya kwanza ya afya ya mtoto na ni sehemu ya utekelezaji wa sera ya Serikali ya kulinda maisha ya wananchi wake. Na Mariam Kasawa.Imeelezwa kuwa mtoto anapozaliwa kinga yake ya mwili huwa ni ndogo sana,…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-