Dodoma FM
Dodoma FM
25 November 2025, 8:23 am
Mwenyekiti wa mtaa huo Bi Dorini amewaomba wananchi kuendelea kuwa wavumilivu na kushirikiana na serikali za mitaa katika kufanikisha ujenzi wa shule hiyo. Na Anwary Shaban.Wananchi wa Mtaa wa Matiasi jijini Dodoma wameeleza kuendelea kutaabika kutokana na changamoto ya ukosefu…
24 November 2025, 3:37 pm
Wazazi wasiozungumza na watoto wao au kuwanyima nafasi ya kueleza mawazo na hisia, huwafanya watoto kushindwa kueleza matatizo yao. Na Joseph Julius.Wazazi wanatajwa kuwa na jukumu kubwa katika malezi ya watoto, lakini tabia zisizo sahihi zinaweza kuathiri saikolojia ya mtoto…
24 November 2025, 3:17 pm
Tangu kutangazwa kuwa jiji mwaka 2016, Dodoma imeongozwa na Mameya wawili, Jafari Mwanyemba na Profesa Davis Mwamfupe, ambaye pia amechukua fomu kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine. Na Mwandishi wetu.Jumla ya makada 19 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu…
24 November 2025, 2:57 pm
Wizara itatoa kipaumbele katika kuimarisha huduma kwa wateja ili kupunguza kero na malalamiko ya wananchi. Na Selemani KodimaSerikali kupitia Wizara ya Maji imeanza kutekeleza mkakati maalum wa kuboresha huduma ya maji katika Jiji la Dodoma kwa miradi ya muda mfupi…
24 November 2025, 2:16 pm
Pamoja na hayo maafisa lishe wamehimiza jamii, walimu na wazazi kushirikiana na vituo vya afya na shule katika kuunga mkono juhudi za elimu ya lishe, ili kuhakikisha watoto wanapata afya bora, akili timamu na mwili wenye nguvu tangu siku za…
21 November 2025, 3:18 pm
Iwapo vijana watawezeshwa na kupata mafunzo ya teknolojia, zaidi ya asilimia 60 wanaweza kuingia rasmi kwenye ajira za kidijitali. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa zipo fursa nyingi zinazoweza kupatikana kupitia teknolojia na kusaidia vijana kujiingizia kipato. Katika mjadala uliofanywa na mwandishi…
21 November 2025, 2:03 pm
Naye, Meneja wa TANROADS Dodoma, Mhandisi Zuhura Amani, amesema wataendelea kufuatilia na kuwasisitiza wakandarasi wote kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa mujibu wa mkataba. Na Seleman Kodima.Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kukamatwa kwa wakandarasi wa kampuni ya China First Highway Engineering…
21 November 2025, 1:38 pm
Daraja hilo limekuwa kero kwa wakazi hao na kuathiri shughuli zao za kila siku. Na Farashuu Abdallah.Wakazi wa mtaa wa Goima, wilaya ya Chemba mkoani Dodoma, wameiomba Serikali kukarabati daraja lililodhoofika na kuwa kero kubwa hususan msimu wa masika. Wakizungumza…
21 November 2025, 1:02 pm
Wiki ya Lishe inasisitiza kuwa jukumu la kuhakikisha watoto wanapata lishe bora ni la jamii nzima—kuanzia wazazi, walezi hadi taasisi za malezi ya watoto. Na Anwary Shaban.Wiki ya Lishe imeendelea kuadhimishwa nchini, huku wataalam wakisisitiza umuhimu wa lishe bora kwa…
20 November 2025, 4:13 pm
Msemaji wa Kikosi cha Dodoma jiji Fc Moses Mpunga ameeleza juu ya maandalizi hayo. Kuelekea mchezo wa ligi kuu Tanzania bara ambapo Dodoma jiji itacheza na Namungo Fc wameendelea kujinoa ili kufanya vizuri katika mchezo huo. Akiongea na Taswira ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-