Dodoma FM

Recent posts

17 November 2025, 3:50 pm

Wanawake watakiwa kutokuwa na hofu katika fani ya udereva

Hata hivyo, madereva hao wamebainisha changamoto wanazokumbana nazo, ikiwemo kutoaminika na baadhi ya watu kutokana na jinsia yao, hali ambayo wamesema inapaswa kubadilika ili kutoa nafasi sawa kwa wote. Na Farashuu Abdallah.Wanawake nchini wametakiwa kuondoa hofu ya kujifunza fani ya…

17 November 2025, 3:36 pm

Umuhimu wa mama mjamzito kuandaa vifaa kabla ya kujifungua

Leo katika kipengele cha mama na mtoto tunaangazia umuhimu wa mama mjamzito kuandaa vifaa vya kujifungulia mapema. Na Anitha Mganga Midwife Anitha Mganga anaeleza pia anabainisha ni vifaa gani mama anavyopaswa kuandaa kabla ya kujifungua.

17 November 2025, 3:22 pm

Familia ya MC Pilipili yathibitisha mwili wake kukutwa na majeraha

Familia haikupata nafasi ya kuuona mwili mara moja baada ya taarifa za kifo kutokana na majukumu waliyokuwa nayo. Na Seleman Kodima.Familia ya marehemu mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu kama MC Pilipili, aliyefariki dunia Novemba 16, 2025 jijini…

14 November 2025, 4:50 pm

BMH kuanzisha kliniki ya kidonda kisukari

Wananchi wamehimizwa kula vyakula vya kulinda mwili na  kuachana na tabia bwete ya kukaa bila mazoezi. Na Mariam Kasawa.Hospitali ya Benjamin Mkapa inatarajia kuanzisha kliniki ya Kidonda kisukari ili kuwasaidia wagonjwa wa kisukari kupata huduma hiyo kwa ukaribu. Kila Novemba…

14 November 2025, 4:23 pm

Jamii yatakiwa kuwa karibu na watu wanaopitia changamoto

Wananchi hao wamesema ni muhimu watu kutoogopa kueleza changamoto wanazopitia ili kupata msaada mapema, badala ya kuamua kujifungia ndani na kuendelea kuteseka kimya kimya Na Farashuu Abdallah.Katika juhudi za kukabiliana na vifo vinavyotokana na changamoto za afya ya akili, jamii…

14 November 2025, 3:43 pm

Watoa huduma za afya wakumbushwa kuzingatia sheria, sera za serikali

Wiki ya Upimaji wa Magonjwa Yasiyoambukiza ilianza Novemba 12 na inahitimishwa leo Novemba 14 katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Na Lilian Leopold.Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaji Jabir Shekimweri, amesisitiza umuhimu wa watoa huduma za afya kufuata sheria…

14 November 2025, 3:14 pm

Ringo Iringo kuboresha miundombinu ya barabara Miyuji

Ameongeza kuwa ahadi alizotoa wakati wa kampeni zitakuwa kipaumbele chake, hususan katika kuboresha barabara za mitaa ambazo zimekuwa kero kwa muda mrefu. Na Seleman Kodima.Baada ya kupata ushindi wa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Miyuji kwa kura zaidi ya…

14 November 2025, 2:15 pm

Jiji la Dodoma latajwa kuwa na mwitikio mzuri uchangiaji wa damu

Sambamba na hayo, Jerome Marando ametoa wito kwa jamii nzima, hususan maafisa usafirishaji, kuendelea kujitokeza bila hofu kuchangia damu salama ili kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji. Na Anwary Shaban. Imeelezwa kuwa kundi la maafisa usafirishaji maarufu Bodaboda limekuwa mstari…

13 November 2025, 4:48 pm

Wananchi Membe wahamasishwa kilimo cha umwagiliaji

Kukamilika kwa bwawa hilo itawasaidia wananchi kufanya kilimo cha mwaka mzima tofauti na hapo awali ambapo kilimo kilitegemea msimu mmoja wa mvua. Na Victor Chigwada. Licha ya ujenzi wa bwawa la umwagiliaji kata ya Membe, wilaya ya Chamwino jijini Dodoma…

13 November 2025, 4:27 pm

Wakazi wa kwa Mathias Dodoma wakabiliwa na ukosefu wa maji

Wananchi hao wameomba kuwekwa utaratibu wa uhakika wa upatikanaji wa maji ili kupunguza usumbufu wanaoupata. Na Farashuu Abdallah.Wakazi wa Mtaa wa Mathias, Kata ya Miyuji jijini Dodoma wameiomba serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa maji ambayo imekuwa ikiwakabili kwa muda…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger