Dodoma FM
Dodoma FM
4 June 2021, 09:39
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumkaribisha Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda Dkt. Vincent Biruta mara baada ya kuwasili…
4 June 2021, 09:14
Na; Mariam kasawa. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akimsikiliza Meneja wa TEHAMA wa Shirika la Posta Tanzania Reuben Komba (kushoto) alipokuwa anawasilisha maelezo kuhusu mifumo ya TEHAMA iliyotengenezwa na Shirika hilo wakati wa…
3 June 2021, 14:13
Na;Mindi Joseph. Jumla ya wananchi elfu 3000 wanatarajia kupata ajira kupitia ujenzi wa kiwanda cha mbolea Nala jijini Dodoma huku wananchi wa eneo hilo wakitarajia kunufaika zaidi na uboreshwaji wa miundombinu ya umeme na maji. Taswira ya habari imezungumza na, Meneja wa Kituo…
3 June 2021, 13:36
Na; TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Konde na Udiwani katika Kata Sita za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 18 Julai mwaka 2021. Akitangaza uchaguzi huo, Mkurugenzi wa…
3 June 2021, 12:35
Na; Mariam Matundu. WAZIRI wa nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo amewataka maafisa Mazingira katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 inasimamiwa katika maeneo yao. Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma na…
3 June 2021, 12:11
Na;Victor Chigwada. Wakulima na wafugaji wa Kata ya Farkwa katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwatatulia changamoto ya soko la mazao pamoja na majosho ili wafanye shughuli zao kwa tija. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema…
3 June 2021, 11:44
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa wananchi nchini kufuatilia elimu zinazotolewa juu ya katiba ya nchi ili kuwawezesha kutambua haki na sheria mbalimbali. Wito huo umetolewa na Bw. William Mtwazi kutoka katika kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC…
2 June 2021, 11:12
Na;Yussuph Hans. Serikali imesema haitofumbia macho suala la baadhi ya viongozi wanaofichua siri na mipango ya Serikali katika udhibiti wa Dawa za kulevya Nchini. Hayo yamebainishwa Bungeni na Waziri wa Nchi, Sera, Bunge, Ajira, Vijana na wenye ulemavu Mh.Jenista Mhagama…
2 June 2021, 10:55
Na; Sani Nicolous. Wito umetolewa kwa vikundi vya kukusanya taka katika maeneo mbalimbali jijini Dodoma kuzingatia utaratibu waukusanyaji taka uliowekwa na viongozi ili kupunguza kero zilizopo mtaani. Akizungumza na Dodoma fm Afisa mazingira Bw. Dickson Kimaro amesema kuwa utaratibu ukifuatwa…
2 June 2021, 09:55
Na; Mariam Matundu. Serikali kupitia wizara ya viwanda na biashara imeweka mikakati ya kuhakikisha inamaliza vikwazo vya kibiashara kati ya nchi ya Kenya na Tanzania ili kuimarisha biashara kati ya nchi hizo mbili. Hivi karibuni kumekuwa na mikutano kati ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-