Dodoma FM
Dodoma FM
21 April 2021, 8:29 am
Na ;Victor Chigwada Wananchi wa Kata ya Hombolo Makulu Wilaya ya Dodoma mjini wametoa kilio chao juu ya changamoto ya barabara ambayo huwa inaathilika kwa kipindi cha mvua na kusababisha kero kwa watumiaji Taswira ya habari imezungumza na Mwajuma Rashidi…
21 April 2021, 7:52 am
Na ;Thadei Tesha. Wakulima wameshauriwa kutumia njia bora za uhifadhi wa mazao ili kuhakikisha mazao yao yanadumu kwa muda mrefu bila ya kuharibika. Akizungumza na taswira ya habari afisa kilimo wa jiji la Dodoma Bi.Gloria Woisso amebainisha njia bora za…
20 April 2021, 12:42 pm
NA; RAMLA SHABAN Wakati wafanyabiashara wa viazi vitamu jijini Dodoma wakisema bei ya zao hilo haijapanda katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan,wanunuzi wengi wameendelea kulalamikia kupanda kwa bei hizo. Wakizungumza na Dodoma fm baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Majengo …
20 April 2021, 12:18 pm
Na; Selemani Kodima Changamoto ya upungufu wa madawati katika shule ya Sekondari Wotta Wilayani Mpwapwa huenda ikapatiwa ufumbuzi baada ya kupatikana fedha za mfuko wa jimbo kiasi cha shilingi milioni moja na elfu thelathini na mbili. Baadhi ya wananachi wakizungumza…
20 April 2021, 11:49 am
Na; Benard Filbert. Elimu iliyotolewa kwa wananchi wa maeneo ya Vijijini kuhusu mfuko wa bima ya afya CHF imesaidia kwa kiasi kikubwa kuamsha hamasa ya kujiunga na kutumia bima hiyo. Hayo yameelezwa na mratibu wa bima ya afya CHF Mkoa…
20 April 2021, 11:27 am
Na; Mariam Matundu Wakazi wa mtaa wa Ndachi jijini hapa wamekuwa na kilio cha muda mrefu juu ya migogoro ya ardhi pamoja na kukosekana kwa miradi ya maendeleo katika mtaa huo. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wananchi wa…
19 April 2021, 2:01 pm
Na;Mindi Joseph Chanzo Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Fedha na Maendeleo ya Biashara wa Wakala wa Mabasi yaendayo haraka nchini (UDART) Bi.Suzana Chaula. Hayo yanajiri baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha karakana ya mabasi…
19 April 2021, 1:23 pm
Na; Selemani Kodima Licha ya Jitihada mbalimbali kuendelea kufanyika ,Bado kijiji cha Banyi banyi wilayani Kongwa kimeendelea kukabiliwa na Changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama. Hili limeendelea kujiri baada ya Kupitia zaidi ya Mwezi mmoja tangu Uongozi wa…
19 April 2021, 12:48 pm
Na; Mariam Matundu Serikali kupitia Halmashauri nchini imetenga shilingi elfu moja(1000) kwa kila mtoto mwenye umri chini ya miaka mitano ili kutekeleza afua mbalimbali za lishe ikiwemo kuanzisha kamati elekezi yenye lengo la kuimarisha usimamizi na uratibu wa suala la…
19 April 2021, 12:19 pm
Na; Benard Filbert. Wenyeviti wa mitaa katika jiji la Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa mamlaka ya maji DUWASA ikiwepo kutoa taarifa za watu wanaojiunganishia maji kinyume na sheria. Hayo yanajiri kufuatia agizo la mkuu wa Mkoa Dkt.Binilith Mahenge alilolitoa hivi…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-