Dodoma FM
Dodoma FM
15 April 2021, 12:23 pm
Na; Mindi Joseph Jumla ya vijana elfu arobaini na nane Nchini wametajwa kunufaika na elimu ya usafi inayotolewa na Taasisi ya Raleigh Tanzania kupitia mradi wa vijana na mabadiliko chanya kitabia juu ya usafi. Akizungumza na Taswira ya habari mratibu wa…
15 April 2021, 11:42 am
Na; Victor chigwada Wakazi wa Hombolo wanao jihusisha na shughuli ya uvuvi wamelalamikia bwawa hilo kujaa tope na kupungua kina hali inayo sababisha vifo kwa wavuvi wanao kwama kwenye tope hilo. Wakizungumza na taswira ya habari wavuvi hao kutoka…
15 April 2021, 5:43 am
Na; Zania Miraji Karibu katika makala ya Amua inayokujia kila siku ya jumapili. tumezungumza na wadau mbalimbali ikiwa ni sahihi wasichana walio na umri mdogo kutumia njia za uzazi wa mpango ambapo wengi wameshauri kuwa ni vyema wakafundishwa elimu ya…
14 April 2021, 1:09 pm
Na; Selemani Kodima Wizara ya kilimo imesema itaendelea kujikita zaidi kwenye kipaumbele cha kufanya tathimini na kukamilisha miradi ya umwagiliaji iliyopo ikiwemo kuangalia ufanisi wake na kukamilishi miradi ya maji ambayo wameshaianza. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu waziri wa…
14 April 2021, 12:04 pm
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa endapo mradi mpya wa maji ambao unatekelezwa katika mji mdogo wa Kibaigwa utakamilika utasiaidia kuondoa tatizo la maji kwa wakazi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na afisa uhusiano kutoka mamlaka ya maji Kibaigwa Water Sanitation…
14 April 2021, 11:32 am
Na;Yussuph Hans Wakati hii leo waumini wa dini ya Kiislamu wakianza mwezi mtukufu wa Ramadhan, wito umetolewa kwa waumini hao kujizuia kufanya mambo yote yaliyokatazwa na Mwenyezi Mungu ili kutimia kwa lengo la funga zao. Akizungumza na taswira ya Habari…
14 April 2021, 9:48 am
Na Mariam Kasawa Imeelezwa kuwa mtoto anae ishi mtaani ana haki ya kupata haki zote za msingi kama anazopatiwa mtoto mwingine ili kumkinga na maovu. Akizungumza na Kapu kubwa la Dodoma fm Afisa ustawi wa jamii ngazi ya mtaani wa…
14 April 2021, 8:05 am
Na ; Mariam Kasawa. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa hafifu za vyakula na vipodozi zenye thamani ya shilingi milioni 19 katika maeneo mbalimbali ya biashara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Kwa Mujibu wa Meneja wa Shirika…
13 April 2021, 1:16 pm
Na; Mindi Joseph Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira( Duwasa) kukabiliana na wezi wa maji na uvujifu wa maji pamoja na kuwachukulia hatua watumishi wa Duwasa wasio waminifu wanaochangia hasara…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-