Dodoma FM
Dodoma FM
22 April 2021, 12:19 pm
Na ; Mariam Kasawa Wazazi jijini Dodoma wametoa wito kwa Serikali na taasisi za elimu nchini kutilia mkazo ufundishwaji wa masomo ya stadi za kazi na maisha ili kuwafanya wanafunzi kuwa na haiba nzuri pamoja uwezo wa kufanya kazi pindi…
22 April 2021, 11:25 am
Na; Benard Filbert Kufuatia kukamilika kwa marekebisho ya mradi wa maji katika Kata ya Mlowa Bwawani Wilayani Chamwino, uongozi wa Kata umejipanga kufikisha huduma hiyo kwenye maeneo ambayo hayajafikiwa. Hayo yanajiri kufuati miezi kadhaa iliyopita mradi huo kushindwa kufanya kazi…
22 April 2021, 10:56 am
Na; Victor Chigwada. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya umeme katika Kijiji cha Chidilo Kata ya Mpalanga Wilayani Bahi kumechangia kwa kiasi kikubwa kakosekana kwa huduma nyingine zinazotegemea nishati hiyo. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wa Kijiji hicho wakati…
22 April 2021, 10:23 am
Na; Mindi Joseph. Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itaendelea kuboresha mawasiliano bora na salama kwa watumiaji kufuatia idadi ya watumiaji wa mtandao kufika milioni 27.9 Desemba 2020 mwaka ulio pita. Akizungumza wakati wa kufunga shindano la pili la masuala…
22 April 2021, 8:39 am
Na; Mariam Kasawa Rais Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuhutubia Bunge katika hotuba itakayotoa mwelekeo wa nini hasa amepanga kutimiza katika muhula wake wa kwanza madarakani. Hii itakuwa ni mara yake ya kwanza kufanya hivyo tangu aapishwe kuwa Rais Machi…
21 April 2021, 12:50 pm
Na; Matereka Junior Makocha wa timu zote mbili Dodoma jiji na Azam fc wamezungumzia maandalizi yao ya mwisho kuelekea mchezo wao wa kesho Alhamis katika uwanja wa Jamhuri.
21 April 2021, 12:27 pm
Na; Mariam Matundu . Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka vyuo mbalimbali wametajwa kuwa miongoni mwa vijana ambao bado hawana ujasiri wa kuzungumza masuala ya afya ya uzazi kwa uwazi. Hayo yamesemwa na kijana, mwanafunzi wa chuo cha…
21 April 2021, 10:44 am
Na; Thadei Tesha. Jamii imetakiwa kuhakikisha inatoa haki sawa katika malezi kwa watoto wao wa kike na wakiume ili kuleta usawa wa kijinsia na kupunguza vitendo vya ukatili kwenye jamii. Wito huo umetolewa na afisa ustawi wa jamii Dodoma Bi.Faudhia…
21 April 2021, 10:27 am
Na; Tosha Kavula. Imeelezwa kuwa uchache wa zao la vitunguu sokoni hivi sasa, unasababishwa na msimu wake wa mavuno kupita. Wakizungumza na Dodoma Fm wafanyabiashara wa zao hilo katika soko la Majengo wamesema hali hii imechangia bei ya zao hilo…
21 April 2021, 10:04 am
Na; Mindi Joseph. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Kanda ya Kati Dodoma limefanya operesheni ya ukaguzi wa vifungashio visivyokidhi ubora sokoni na kukamata vifungashio takribani kilo 125 na kuvitaifisha. Akizungumza na taswira ya Habari baada ya kufanya ukaguzi huo…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-