Dodoma FM
Dodoma FM
5 May 2021, 11:09 am
Na; Thadei Tesha Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza miundombinu ya maji na barabara ili iweze kutumika kwa muda mrefu kama ilivyokusudiwa. Wito huo umetolewa na wenyeviti wa mitaa ya Kiwanja cha Ndege Bw.Ignas Rufyadira na Bi.Zena Chiuja ambaye ni…
5 May 2021, 10:41 am
Na; Mindi Joseph Kamati ya kudumu ya Bunge ya kilimo,Mifugo na Maji imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maji Mzakwe jijini Dodoma na Buigiri Wilayani Chamwino inayotajwa kupunguza adha ya maji kwa wananchi. Akizungumza katika ziara hiyo,Mwenyekiti wa kamati ya…
5 May 2021, 10:13 am
Na; Nteghenjwa Hosseah Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa Mhe.Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuendelea kuchapa kazi kama awali na sio kukaa…
4 May 2021, 1:40 pm
Na; Alfred Bulahya Watumiaji wa vipimo mbalimbali jijini Dodoma wametakiwa kuhakikisha wanazingatia vipimo kwa mujibu wa sheria ili kuongeza thamani ya bidhaa zao. Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na katibu tawala wa Mkoa wa Dodoma Bi.Aziza Muba, wakati akizungumza na…
4 May 2021, 11:51 am
Na; Mariamu Matundu. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis ameyaagiza Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) nchini kuhakikisha miradi yanayoisimamia inalenga kuwasaidia wananchi ili waweze kujikwamua kiuchumi. Naibu Waziri…
4 May 2021, 10:22 am
Na; Selemani kodima Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini wilaya ya Dodoma umesema una mpango wa kumaliza changamoto ya maji katika maeneo ya Msembeta,Chigongwe ,Nala pamoja na Lugala kwa kutoa maji bonde la Mzakwe . Hayo yamesemwa…
4 May 2021, 9:44 am
Na; Benard Filbert Uongozi wa shule ya secondary Hombolo bwawani jijini Dodoma umekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wanafunzi wa kidato cha tano kuadhibiwa hadi kufikia hatua za kulazwa hospitali kutokana na uharibifu wa mali za shule. Akizungumza…
4 May 2021, 9:02 am
Na; Thadey Tesha. Katika kuondokana na wimbi la watoto wanaojihusisha na shughuli za biashara wakiwa na umri mdogo jamii imeshauriwa kuacha mara moja vitendo vya kuwatumikisha watoto wadogo katika shughuli za biashara kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria. Akizungumza…
3 May 2021, 1:37 pm
Na; Mindi Joseph Imeelezwa kuwa elimu ya kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto imechangia wengi kuripoti hususani watoto wa kike katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Taswira ya Habari imezungumza Askari polisi wa Dawati la jinsia…
3 May 2021, 10:29 am
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ili kuongeza ufahamu kuhusu masuala ya afya ya uzazi kwa vijana ni muhimu kuongeza wigo wa utoaji elimu hiyo pamoja na mazingira rafiki yanayomuwezesha kijana kupata elimu hiyo. Debora Frenk ni afisa mradi wa EPIC…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-