Dodoma FM
Dodoma FM
7 May 2021, 12:42 pm
Na; FREDY CHETI . vijana nchini wameshauriwa kujihusisha na shughuli za kilimo ili waweze kujiajiri na kuendesha maisha yao. Wito huo umetolewa na Bi. Lucy Madala mtaalamu wa kilimo kutoka chuo kikuu cha kilimo (SUA) wakati akizungumza…
7 May 2021, 12:05 pm
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji Cha Sambwa Kata ya KK Wilayani Kondoa wamelalamikia ukosefu wa huduma za afya katika Kijiji hicho hali inayowalazimu kutembea umbali mrefu kwa ajili ya matibabu. Bw.Ally Khamis ni mkazi wa Kijiji hicho amesema wamekuwa…
7 May 2021, 11:39 am
Na; Alfred Bulahya. Wakazi wa mtaa wa Lugala kata ya Mbalawala watanufaika na elimu ya watu wazima baada ya uongozi wa eneo hilo pamoja na wananchi kukubaliana kuanzisha darasa ili kuwasaidia wananchi ambao hawakubahatika kusoma. Akizungumza na Taswira ya habari…
6 May 2021, 1:56 pm
Na; Benard Filbert. Jamii inaaswa kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji maalumu ikiwepo watoto wanaoishi katika mazingira magumu hali itakayosaidia kukidhi mahitaji yao ya msingi. Wito huo umetolewa na mratibu wa shirika la Charity Vision Tanzania Mariam Mbijima mara baada…
6 May 2021, 1:38 pm
Na; FREDY CHETI. Wananchi wa Mtaa wa Salama Kata ya Kizota wameuomba uongozi wao kuwaruhusu kufanya usafi katika mazingira yanayozunguka makazi yao badala ya maeneo ya wazi kila ifikapo mwisho wa mwezi kama utaratibu ulivyowekwa na Serikali . Wakizungumza na…
6 May 2021, 11:41 am
Na; Mariam Kasawa Wananchi wametakiwa kuwa na utaratibu wa kufanya utalii wa ndani katika mbuga mbalimbali ili kufahamu vivutio vingi vya utalii vinavyo patikana hapa Nchini. Ushauri huo umetolewa na wawakilishi kutoka hifadhi ya Taifa Tanzania TANAPA wakati wakizungumza na…
6 May 2021, 7:59 am
Na; Joan Msangi. Kufuatia baadhi ya watu wanaoendesha pikipiki maarufu kama bodaboda kudaiwa kujihusisha na uhalifu , wananchi katika Kata ya Makulu jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwachukulia hatua kali za kisheria watakaobainika. Wakizungumza na Dodoma fm wananchi hao wamesema nyakati…
5 May 2021, 12:58 pm
Na; Shani Nicolaus Makubaliano yaliyofikiwa kati ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata kuhusu ujenzi wa bomba la gesi kutoka Dar es Salaam hadi Mombasa yatafungua fursa za kiuchumi kwa mataifa yote mawili. Hayo yameelezwa…
5 May 2021, 11:37 am
Na; Fred Cheti Katika kuelekea siku ya uwanuai wa tamaduni duniani wito umetolewa kwa jamii kutunza na kuendeleza tamaduni za kitanzania katika ngazi zote ikiwemo vitu vya asili ili kujenga Taifa lenye utambulisho stahiki na amani. Wito huo umetolewa na…
5 May 2021, 11:09 am
Na; Thadei Tesha Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza miundombinu ya maji na barabara ili iweze kutumika kwa muda mrefu kama ilivyokusudiwa. Wito huo umetolewa na wenyeviti wa mitaa ya Kiwanja cha Ndege Bw.Ignas Rufyadira na Bi.Zena Chiuja ambaye ni…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-