Dodoma FM
Dodoma FM
13 May 2021, 12:13 pm
NA; SHANI NICOLOUS. Wito umetolewa kwa mama lishe jijini Dodoma kuzingatia usafi katika shughuli zao, hususani wa vijiko vinavyotumika kulia chakula ili kuepusha maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini. Akizungumza na Taswira ya Habari daktari kutoka Hospitali ya Benjamini…
13 May 2021, 11:46 am
Na; Benard Filbert. Ukosefu wa rasilimali fedha umetajwa kuwa sababu iliyokuwa ikipelekea Wizara ya elimu sayansi na teknolojia kushindwa kufanya mashindano ya kitaifa ya sayansi teknolojia na ubunifu katika ngazi za Wilaya. Hayo yameelezwa na profesa Kipanyula ambaye ni mkurugenzi…
13 May 2021, 10:39 am
Na; Yussuph Hans. Waandishi wa Habari wa Redio za kijamii Nchini wametakiwa kutumia malengo ya maendeleo endelevu ya 2030 katika kuibua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii zao kwa lengo la kuleta ufumbuzi. Hayo yamesemwa na Afisa Programu wa shirika la…
12 May 2021, 1:43 pm
Na; Mariam Matundu Imeelezwa kuwa ili Tanzania kuwa na elimu jumuishi yenye ufanisi ni muhimu sera ya elimu ieleze wazi suala hilo na kuweka vipaumbele katika mitaala jumuishi ,pamoja na utoaji wa elimu nyumbufu kwa ngazi zote. Hayo yameelezwa na…
12 May 2021, 1:17 pm
Na; Benald Filbert Barabara zilizopo katika kata ya Mtanana wilaya ya Kongwa zimeingizwa kwenye bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22 ili kufanyiwa ukarabati kuanzia eneo la Mtanana A hadi Ndalibo, kwa lengo la kuondoa usumbufu ambao wananchi wamekuwa wakikutana nao.…
12 May 2021, 1:00 pm
Na; Victor Chigwada Kutokana na matokeo yasiyokuwa ya kuridhisha kwa wanafunzi wa shule za sekondari katika Kata ya Makanda wazazi wametaja kilichosababisha hali hiyo ni kuwepo kwa kambi za kitarafa. Baadhi ya wazazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema…
12 May 2021, 12:47 pm
Na; Mindi Joseph Serikali imehimizwa kuwashirikisha wananchi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo ili kuokoa hasara inayojitokeza kufuatia asilimia 36 ya miradi iliyokamilika Nchini kutotumika licha ya kugharimu rasilimali nyingi za fedha. Taswira ya habari imezungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa…
12 May 2021, 10:12 am
Na; Mindi Joseph waziri mkuu kasimu majaliwa amezindua vitabu vya miongozo ya utayarishaji wa miradi ya maji ili kupunguza changamoto ya maji nchini. Akizungumza baada ya kuzindua mwongozo huo Kwenye kikao cha watendaji wa sekta ya maji nchini LEO jijini…
11 May 2021, 2:05 pm
Na; Mariam Matundu. Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote(UCSAF), Justina Mashiba amesema kupitia miradi ya mfuko huo wamekuwa wakitoa mafunzo yenye lengo la kumuhamasisha mtoto wa kike kupenda masomo ya sayansi, kuwa mbunifu na kupenda kujifunza masuala…
11 May 2021, 1:08 pm
Na; Fred Cheti . Serikali imewataka wananchi kuunga mkono juhudi zake katika kuhamasisha ubunifu wa teknolojia ili matumizi yake yaweze kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili katika maeneo yao. Wito huo umetolewa leo na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-