Dodoma FM
Dodoma FM
11 May 2021, 12:40 pm
Na; Mariam Matundu. Jamii imetakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yasiyo ya kuambukizwa ikiwemo Covid 19 ili kulinda afya zao . Hayo yamesemwa na afisa afya wa jiji la Dodoma Abdallah Mahiya na kuongeza kuwa kutokana…
11 May 2021, 11:15 am
Na;Mindi Joseph. Serikali imeahidi kuendelea kuwa na uchumi imara kwa kuimarisha na kufungua mipaka ya masoko katika nchi za kanda ya Africa mashariki na maziwa makuu. Akizungumza katika Mahojiano na Taswira ya habari Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud…
11 May 2021, 10:54 am
Na; Mariam Kasawa. Wakazi jijini Dodoma wamehamasishwa kufungua akaunt katika Bank ya Amana kwani ni nafuu na rahisi kutoa huduma kwa jamii. Akizungumza na kapu kubwa la Dodoma fm meneja wa bank ya Amana tawi la Dodoma Bw. Athuman Julius…
11 May 2021, 8:24 am
Na;Benjamin Jackson. Kutokana na kuzuka kwa tabia ya wazazi kusitisha masomo ya Watoto wao ya elimu ya sekondari pindi wanapo hitimu elimu ya msingi ,baadhi ya wananchi wameiomba serikali kuchukua hatua kali kwa wazazi wenye tabia kama hiyo. Wakizungumza na…
10 May 2021, 1:19 pm
NA;Alfredy Sanga. Viongozi wa Mtaa wa Makulu jijini Dodoma wameelezea changaoto wanazokutana nazo kila ifikapo mwisho wa mwezi wanapowaongoza wananchi kufanya usafi. Akizungumza na Dodoma Fm balozi wa Mtaa wa Makulu Bw.Peter Salali amesema tangu kuanzishwa kwa utaratibu wa ufanyaji…
10 May 2021, 12:23 pm
Na;Mindi Joseph Serikali imesema itaendelea kuwalinda wabunifu na wavumbuzi mbalimbali kupitia sheria ya alama ya biashara na huduma ya mwaka 2000 ili kuendelea kutengeneza ajira nchini. Akizungumza na Taswira ya habari Raphael Mtalima Afisa utumishi na utawala mwandamizi kutoka Brela…
10 May 2021, 11:58 am
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa kitabu kilichozinduliwa hivi karibuni cha Raisi wa awamu ya pili ya jamhuri ya muungano wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi ambacho kinaeleza historia ya maisha yake katika kipindi cha utawala wake kitawasaidia viongozi wa serikali…
10 May 2021, 11:24 am
Na; Thadei Tesha. Wafugaji nchini wameshauriwa kutumia njia bora za kisasa na kiteknolojia za kulisha mifugo ili kuleta tija katika soko la mifugo nchini. Akizungumza katika mahojiano maalum na kipindi cha taswira ya habari mtaalamu na mtafiti kutoka kituo cha…
10 May 2021, 10:27 am
Na; Victor Chigwada. Changamoto ya upatikanaji wa maji imekuwa tatizo kubwa katika baadhi ya vijiji hali inayo pelekea wakazi wa maeneo hayo kutumia muda mwingi katika utafutaji wa maji. Taswira ya habari ilitembelea Kata ya Mpalanga Wilaya ya Bahi katika…
7 May 2021, 1:52 pm
Na ; Yussuph Hans Serikali imesema katika kutambua changamoto ya uhaba wa wafamasia nchini katika kipindi cha mwaka 2021/22 ina mpango wa kuajiri watumishi 10,467 ili kuhudumia maeneo mbalimbali nchini Hayo yamesemwa Bungeni hii leo na Naibu Waziri Ofisi ya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-