Dodoma FM
Dodoma FM
1 September 2021, 12:44
Na;Mindi Joseph . Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei za mafuta kutokana na kubadilika kwa bei katika Soko la Dunia na gharama za uagizaji. Bei ya mafuta kupanda itaanza kutumika kuanzia leo…
1 September 2021, 12:11
Na;Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa kwa kipindi cha miezi nane tangu januari mpaka Agost mwaka huu 2021 hakuna tukio la ndoa za utotoni lililo ripotiwa dawati la jinsia na watoto Wilaya ya Dodoma Mjini . Hayo yamesemwa na mkaguzi msaidizi wa…
31 August 2021, 12:31
Na; Mariam Matundu. Wahandisi 17 wamechukuliwa hatua mbalimbali za kisheria kwa kukiuka maadili na taratibu za taaluma yao kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2020/2021. Hayo yamesemwa jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Usajili ya Wahandisi (ERB), Mhandisi Patrick…
31 August 2021, 12:13
Na;Yussuph Hans. Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imetoa Ripoti yake leo Bungeni Dodoma kuhusu shauri la Mbunge wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Bunge na kutoa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo ya Bunge. Akisoma taarifa…
31 August 2021, 11:56
Na; Beanrd Filbert. Ukosefu wa matundu ya vyoo katika mnada wa Dabalo kata ya Dabalo wilayani Chamwino imetajwa kuwa changamoto kwa wafanyabiashara hali inayoweza kuhatarisha afya zao. Hayo yameelezwa na Diwani wa kata ya Dabalo Bwana Isihaka Rajab wakati akizungumza…
31 August 2021, 11:35
Na; Selemani Kodima. Imeelezwa kuwa athari mojawapo anayoipata Mtu aliyepata Virusi vya Ugonjwa wa Uviko-19 ni pamoja na upungufu wa nguvu za kiume. Hili linajiri baada ya Hivi karibuni ripoti ya utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Miami nchini Marekani kueleza…
30 August 2021, 13:50
Na;Yussuph hans, Uzalishaji uliokithiri wa majitaka umekuwa sababu kubwa ya kuharibika kwa mazingira pamoja na chanzo cha maradhi mbalimbali ya mlipuko katika jamii. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya Wakazi Mkoani Dodoma wamesema kuwa jamii imekuwa na ufahamu kuhusu madhara ya…
30 August 2021, 13:38
Na; Mariam Kasawa. Watu wanaotelekeza wagonjwa hospitali kwa sababu ya kutokumudu gharama za matibabu wameshauriwa kutokufanya hivyo na badala yake wafike katika ofisi za ustawi wa jamii katika hospitali aliyolazwa mgonjwa ili kupata msaada. Afisa ustawi wa jamii hospitali ya…
30 August 2021, 13:23
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amesema hatatoa kibali cha kuingiza sukari nchini kufuatia kuua ajira kwa watazania na kudidimiza uzalishaji wa miwa kwa wakulima Nchini. Akizungumza leo Jijini Dodoma katika uzinduzi wa matokeo ya sensa ya kilimo…
27 August 2021, 13:37
Na; Selemani Kodima. Uongozi wa Kijiji cha Izava Kata ya Izava Wilayani Chamwino umesema upo katika mkakati wa kutafutia ufumbuzi suala la ukarabati wa kisima cha maji ili kuwaondolewa wananchi changamoto ya huduma hiyo. Akizungumza na Taswira ya Habari Mwenyekiti…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-