Dodoma FM
Dodoma FM
12 September 2021, 09:51
9 September 2021, 13:20
Na;Mindi Joseph . Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Mhe Ummy Mwalimu amepiga marufuku kuhamisha walimu kutoka katika Halmashauri zilizoko pembezoni Nchini kabla ya kupeleka walimu mbadala. Akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi Tawi la…
7 September 2021, 14:32
Na;Yussuph Hans. Serikali Nchini imepiga marufuku Watoto wadogo kutumikishwa kuchunga mifugo kwani wanahitajika kwenda Shule pamoja na kwamba hawamudu kundi kubwa la Mifugo. Hayo yamebanishwa leo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa katika Mkutano…
7 September 2021, 14:19
Na; Selemani Kodima . Vijana nchini wametakiwa kufuatialia kwa makini matangazo yanayotolewa na ofisi ya Waziri mkuu hususani ya kujiunga na vyuo mbalimbali ilikuongeza ujuzi. Hayo yamesemwa na mwakilishi wa vijana bungeni pamoja na mwakilishi wa watu wenye mahitaji maalumu…
7 September 2021, 14:11
Na;Mindi Joseph . Mkuu wa wilaya ya Dodoma Mjini Mh Jabiri Shekimweri ameiomba wizara ya kilimo kuhakikisha Mkoa wa Dodoma unapewa kipaumbele katika upatikanaji wa mbengu bora za kilimo ili kutatua adha ya mbegu kwa wakulima. Akizungumza na Taswira ya…
6 September 2021, 12:12
Na; Mariam Matundu. Katika kuelekea siku ya wazee duniani wazee wanaoishi katika makazi ya wazee sukamahela wilayani manyoni wameishukuru serikali kwa kufanya ukarabati katika majengo ya makazi hayo ikiwa ni pamoja na wazee hao kupata uhakika wa chakula kila siku…
6 September 2021, 11:48
Na; Selemani Kodima. Serikali imesema itaendelea kuhamasisha wananchi kuchukua tahadhari na kuchanja chanjo ya Uviko 19 huku pia wakiendelea kuhamasisha kutumia njia nyingine za kujikinga na Ugongwa huo. Akizungumzia Umuhimu wa wananchi kuchanja chanjo ya Uviko -19 Dkt Baraka Nzobo…
6 September 2021, 11:38
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa Wanawake wamekuwa na Mchango mkubwa katika familia, Jamii ikiwapa kipaumbele cha kumiliki Rasilimali. Hayo yamebainishwa na Afisa Maendeleo ya Vijana Halmashauri ya Jiji la Dodoma Bw Mfungo Manyama wakati akizungumza na kituo hiki ambapo amesema ni…
6 September 2021, 11:31
Na; Fred Cheti. Takwimu kutoka shirika la kuhudumia watoto Duniani UNICEF zinaonyesha kuwa takriban watoto wa kike wenye umri wa miaka 15 na 19 duniani kote zaidi ya asilimia 70, wamewahi kupitia aina fulani ya ukatili wa kimwili tangu walipokuwa…
6 September 2021, 10:17
Na; Benard Filbert. Ungozi wa kata ya Mtanana wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma unatarajia kupitisha makubaliano na wananchi ya kukodisha shamba lenye ukubwa wa heka 107 ili fedha hizo zitumike katika ujenzi wa madarasa pamoja na Zahanati. Hayo yameelezwa na…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-