Dodoma FM
Dodoma FM
4 June 2021, 1:36 pm
Na; Shani Nicolous. Kuelekea kilele cha siku ya mazingira Duniani wananchi wametakiwa kuzingatia utunzaji wa mazingira ili kunusuru kizazi cha sasa na baadae. Wito huo umetolewa na mdau wa utunzaji wa mazingira kutoka kampuni ya Vilidium Tanzania ambao ni watengenezaji…
4 June 2021, 1:23 pm
Na; Selemani Juma. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameagiza kuondolewa katika wizara hiyo mhandisi wa maji wa Wakala wa Maji Vijijini (Ruwasa) Wilaya ya Hanang, Herbert Kijazi baada ya kuisababishia hasara Serikali ya Shilingi milion 609. Hatua ya hiyo imekuja…
4 June 2021, 1:06 pm
Na;Mindi Joseph . Asilimia 1 ya pato la Taifa inatajwa kupotea kila mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi huku ikikadiriwa watu milioni 1.6 wanaoishi ukanda wa pwani watakabiliwa na changamoto ya athari za mabadiliko ya tabia nchi ifikapo mwaka…
4 June 2021, 12:55 pm
Na; Mariam Matundu. Serikali ya Finland imedhamiria kushirikiana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa Maafisa Ustawi na Maendeleo ya Jamii wanawezeshwa katika utekelezaji wa shughuli zao za uboreshaji wa huduma kwa jamii hususani uwezeshwaji wanawake kiuchumi.…
4 June 2021, 9:39 am
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kumkaribisha Mjumbe Maalumu wa Rais wa Rwanda Paul Kagame, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Rwanda Dkt. Vincent Biruta mara baada ya kuwasili…
4 June 2021, 9:14 am
Na; Mariam kasawa. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (kulia) akimsikiliza Meneja wa TEHAMA wa Shirika la Posta Tanzania Reuben Komba (kushoto) alipokuwa anawasilisha maelezo kuhusu mifumo ya TEHAMA iliyotengenezwa na Shirika hilo wakati wa…
3 June 2021, 2:13 pm
Na;Mindi Joseph. Jumla ya wananchi elfu 3000 wanatarajia kupata ajira kupitia ujenzi wa kiwanda cha mbolea Nala jijini Dodoma huku wananchi wa eneo hilo wakitarajia kunufaika zaidi na uboreshwaji wa miundombinu ya umeme na maji. Taswira ya habari imezungumza na, Meneja wa Kituo…
3 June 2021, 1:36 pm
Na; TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Konde na Udiwani katika Kata Sita za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 18 Julai mwaka 2021. Akitangaza uchaguzi huo, Mkurugenzi wa…
3 June 2021, 12:35 pm
Na; Mariam Matundu. WAZIRI wa nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira Selemani Jafo amewataka maafisa Mazingira katika Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha Sheria ya Mazingira ya Mwaka 2004 inasimamiwa katika maeneo yao. Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma na…
3 June 2021, 12:11 pm
Na;Victor Chigwada. Wakulima na wafugaji wa Kata ya Farkwa katika Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwatatulia changamoto ya soko la mazao pamoja na majosho ili wafanye shughuli zao kwa tija. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-