Dodoma FM
Dodoma FM
8 July 2021, 11:32 am
Na; Benard Filbert. Miezi kadhaa baada ya Dodoma FM kuripoti habari kuhusu changamoto ya kukosekana kwa nishati ya umeme katika kata ya Membe Wilayani Chamwino hatimaye Serikali imeanza kuchomeka nguzo za umeme. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Chitaburi wameeleza…
8 July 2021, 11:11 am
Na; Shani Nicolous. Kampeni ya zero migogoro ya ardhi Mkoani Dodoma imefanikiw kusikiliza kesi zaidi ya elfu moja kwa siku mbili huku baadhi ya kesi zikitatuliwa papo kwa papo na nyingine zilizohitaji kufika maeneo husika zikiendelea kufanyiwa kazi. Akizungumza na…
6 July 2021, 2:01 pm
Na;Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa licha ya mchango mkubwa katika Familia, bado wafanyakazi wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kufanyiwa vitendo vya Ukatili na Unyanysaji wa kijinsia kutoka kwa waajiri wao, wanafamilia, ndugu na marafiki. Mmoja wa wasaidizi wa kazi za…
6 July 2021, 12:15 pm
Na; Pius Jayunga. Waziri wa maji Jumaa Aweso amewataka watumishi wa Wizara ya maji na mamlaka zake kuwa na lugha nzuri kwa wateja wao ili kuchochea utoaji wa huduma bora za maji kwa wananchi maeneo mbalimbali Nchini. Kauli hiyo ameitoa…
6 July 2021, 11:49 am
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Mkutani Kata ya Hogoro Wilayani Kongwa wanakabiliwa na changamoto ya huduma ya maji safi na salama hali ambayo imekuwa ikiwalazimu kutembea umbali mrefu kutafuta huduma hiyo. Hayo yameelezwa na wakazi hao wakati wakizungumza…
5 July 2021, 12:31 pm
Na; Beanard Filbert. Wakazi wa kata ya Iduo Wilayani Kongwa wameiomba Serikali kuhakikisha wanafanya marekebisho ya miundombinu ya barabara katika Kata hiyo ili kuepusha usumbufu ambao wamekuwa wakikutana nao hususani katika msimu wa mvua. Hayo yameelezwa na wakazi hao wakati…
5 July 2021, 11:32 am
Na; Shani Nicolous. Jamii imeshauriwa kutumia vyakula mchanganyiko vya kujenga mwili ili kupunguza magonjwa yasiyokuwa na ulazima pamoja na madhara mengine ambayo yanatokana na uzito wakupindukia. Akizungmza na Dodoma FM Dr. Mathew kutoka Poly Clinic Jijini Dodoma amesema kuwa kumekuwa…
5 July 2021, 10:54 am
Na;Yussuph Hans. Mjadala kuhusu tatizo la ajira Nchini limekuwa likichukua sura mpya na hii ni kutokana na ukubwa wa tatizo hilo ambalo linaendelea kuumiza vichwa vya watungaji wa sera na wadau wengine. Hali hii imepelekea baadhi ya wasomi na wachambuzi…
5 July 2021, 9:49 am
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kijiji cha Mlebe Kata ya Msamalo wanakabiliwa na uhaba wa wahudumu wa afya katika zahanati yao hali inayodhoofisha utoaji wa huduma za matibabu hasa kwa akina mama wajawazito. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira…
2 July 2021, 2:15 pm
Na;Yussuph Hans. Marufuku imetolewa kwa wakuu wa idara, taasisi pamoja na wakurugenzi kuhakikisha wanalipa fidia kwa wananchi kabla ya kutwaa ardhi yao ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa maridhio baina ya pande zote mbili. Akizungumza katika kikao cha uzinduzi wa…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-