Dodoma FM
Dodoma FM
26 September 2025, 12:41 pm
Hatua hizi zinakuja baada ya Shirika la AFNET kwa kushirikiana na Ofisi ya TAKUKURU wilayani Chemba na Kamati ya Ufuatiliaji ngazi ya jamii, kuendesha zoezi la kubaini miradi ya kufuatilia katika vijiji vya Kelema Kuu na Sori mwezi Agosti mwaka…
25 September 2025, 4:22 pm
Karibu katika igizo la sauti ya tiba sehemu ya nne uweze kujifunza na kuburudika kupitia Dodoma fm redio.
25 September 2025, 4:01 pm
Upanuzi wa barabara unafanyika kwa lengo la kurahisisha upatikanaji wa huduma za dharura pindi majanga yatakapojitokeza. Na Lilian Leopold.Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dodoma Septemba 24, 2025 limeendelea na zoezi la kupanua barabara ndani ya masoko ambapo limefanyika…
25 September 2025, 3:06 pm
Mikakati kama vile elimu ya kina ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma rafiki za afya, na ushirikishwaji wa jamii katika kubadili mitazamo potofu kuhusu mimba za utotoni inahitajika. Na Mariam Matundu. Wazazi na walezi wana wajibu wa…
25 September 2025, 1:58 pm
Wasichana walio katika hatari kubwa ya kupata mimba wapatiwe motisha ili kuwasaidia kumaliza shule kama vile malipo ya kifedha au programu za masomo. Na Mariam Kasawa. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni WHO limetoa mwongozo mpya wa kimataifa unaolenga kuzuia…
25 September 2025, 1:32 pm
Hakuna shaka kuwa ili kufikia usawa wa kijinsia, wanawake wanahitaji kujiandaa kwa namna ya kipekee na kujipanga vizuri zaidi katika kupata nafasi za uongozi. Ingawa vyama vya siasa vimeanzisha mikakati ya kuwawezesha wanawake, bado kuna upungufu wa ufanisi katika utekelezaji…
24 September 2025, 6:28 pm
Komba ameitaka jamii kwa ujumla kutafuta ushauri wa kisheria mapema wanapokutana na changamoto zinazohusiana na mirathi, ili kuhakikisha haki za warithi zinatimizwa na mgogoro wowote unatatuliwa kwa mujibu wa sheria. Na Joseph Julius.Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuzingatia masharti ya sheria…
24 September 2025, 6:06 pm
Maafisa usafirishaji wametakiwa kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kidijitali vya wafanyabiashara wadogo ili kuwasaidia kupangiwa maeneo rasmi ya kufanyia kazi. Na Lilian Leopold.Zaidi ya vijana 23,000 jijini Dodoma wanajipatia kipato cha kila siku kupitia uendeshaji wa pikipiki na bajaji . Wakizungumza…
23 September 2025, 5:01 pm
Karibu uendelee kusikiliza mfululizo wa Igizo la sauti ya tiba leo tukisalia sehemu ya tatu ili uweze kuburudika na kuelimika.
23 September 2025, 4:46 pm
Wafanyakazi wa nyumbani bado wanakumbwa na unyanyasaji kwa sababu kazi hiyo haieshimiwi kama kazi rasmi. Na Lilian Leopold.Kulingana na ripoti kutoka Shirika la Kazi Duniani (ILO), zaidi ya watu milioni moja wameajiriwa kama wafanyakazi wa nyumbani nchini na wengi wao…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-