Dodoma FM

Recent posts

13 September 2024, 7:30 pm

Nguvu ya maombi yamtungua bundi wa ajabu kanisani

Wakazi wa mtaa wa Maili Mbili CCM wameonesha mshangao baada ya kuona bundi huyo ameanguka kwenye eneo la kanisa akiwa na vifaa mabilimbali vya kiuchawi. Na Thadei Tesha. Wakazi wa Mtaa wa Maili Mbili  CCM jijini Dodoma wameshudia tukio la…

13 September 2024, 7:29 pm

Sango Darajani hatarini magonjwa ya mlipuko

Wafanyabiashara wa vyakula wanasema eneo hilo ni hatari kwa biashara zao kwani inaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko. Na Fatuma Maneno . Wananchi na wafanyabiashara wa Sango Darajani jijini Dodoma katika soko la Majengo, wamehofia usalama wa afya zao kutokana na…

13 September 2024, 7:28 pm

Taharuki ya simba Nzuguni

Dodoma ni sehemu ya mapitio ya wanyama pori hivyo suala la uwepo wa wanyama pori katika baadhi ya maeneo litaendelea kujitokeza. Na Thadei Tesha. Afisa Maliasili wa Jiji la Dodoma Bw. Vedasto Millinga amekiri uwepo wa baadhi ya wanyama pori…

11 September 2024, 7:38 pm

Virusi vya homa ya ini ni hatari kuliko VVU

Virusi vya ugonjwa wa homa ya ini ni rahisi kuambukizwa kutoka kwa mtu mwenye maambukizi hadi mwingine na kuleta madhara kwa muda mfupi kuliko VVU Na Yusuph Hassan. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini inakadiriwa kiwango cha ushamiri wa…

11 September 2024, 7:37 pm

Zaidi ya wakulima 290 kunufaika na skimu ya umwagiliaji Dodoma

Zaidi ya wakulima 290 wanatarajia kunufaika kupitia Uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali II Mkoani Dodoma. Na Mindi Joseph Zaidi ya wakulima 290 wanatarajia kunufaika kupitia uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali II Mkoani…

11 September 2024, 7:36 pm

Kupata wasaa na mtoto ni kinga dhidi ya ukatili

Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamesema kuwa wazazi wengi hawatengi muda wa kuzungumza na watoto wao, jambo ambalo linawanyima nafasi ya watoto kueleza changamotozao kwa wazazi. Na Lilian Leopold. Mara kadhaa Serikali pamoja na wadau mbalimbali wa kupinga masuala ya…

10 September 2024, 7:22 pm

DUWASA kutatua adha ya maji Ng’ong’ona

Na Mindi Joseph . Kukamilika kwa ujenzi wa matenki mawili ya maji yenye ujazo wa lita laki 5 katika mtaa wa Ng’ong’ona kata ya Ng’ong’ona Jijini Dodoma kutatatua adha ya maji kwa wananchi wa eneo hilo. Ujenzi wa matenki hayo…

10 September 2024, 7:22 pm

Urejeshaji taka fursa mpya kwa vijana

Na Mariam Kasawa. Mahfoudh Haji ni makamu mwenyekiti wa taasisi ya Green Samia Foundation anasema taka ni fursa hasa kwa vijana lakini uelewa bado ni mdogo kwani wengi wanaamini waokota taka rejeshi ni watu duni hivyo kuidharau kazi hii. Kutokana…

10 September 2024, 7:21 pm

Dhana ya kubemenda yastawisha heshima ya ndoa

Na Ysusuph Hassan. Dkt Matthew Gaudance kutoka Decca Polyclinic  amesema kuwa dhana ya kubemendwa kwa mtoto ni dhana inayolenga kudumisha uaminifu katika ndoa hivyo kuleta ustawi na kujenga jamii  bora yenye maadili. Aidha Dkt Matthew amewashauriwa wazazi na walezi kuzingatia…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger