Recent posts
19 September 2024, 7:51 pm
Uhakiki nembo ya ubora katika bidhaa ni salama kwa afya ya mlaji
Na Fred Cheti. Jamii imeaswa kuwa na utamaduni wakuhakiki ubora wa bidhaa sambamba na kuangalia ukomo wa matumizi kabla ya kufanya manunuzi. Shirika la Viwango Tanzania TBS limekuwa likifanya ukaguzi wa mara kwa mara katika maduka ya wauzaji wa…
18 September 2024, 7:42 pm
Migahawa Hombolo yavutia kwa usafi
Wanafunzi kutoka Chuo cha Serikali za Mtaa Hombolo wanasema hali ya usafi kwa baadhi ya watoa huduma ya chakula imeimarika. Na Mindi Joseph. Suala la usafi jambo ni muhimu katika kujikinga dhidi magonjwa yasababishwayo na uchafu. Hivyo ni jambo la…
18 September 2024, 7:42 pm
Je, jamii ina uelewa gani kuhusu saratani ya matiti?
Kwa mujibu wa takwimu za ufuatiliaji wa saratani kupitia ripoti ya utafiti ya Globocan zinaonesha kuwa nchini Tanzania takribani wagonjwa wapya wa saratani elfu 40 hugunduliwa kila mwaka na karibu jumla ya watu elfu 27 wenye saratani hufariki dunia kila…
18 September 2024, 7:42 pm
“Mwache aongoze”
Na Mariam Kasawa Baadhi ya jamii zinaamini kuwa mwanamke hana uwezo wa kuongoza hali inayopelekea idadi ya wanawake kuwa chache katika nafasi mbalimbali za uongozi ikilinganishwa na wanaume. Mashirika yasiyokuwa yakiserikali yameanzisha mradi wa pamoja ambao unalenga kuwaimarisha wanawake na…
18 September 2024, 7:42 pm
Vijimambo! Kamera ya siri yagundulika bafuni ndani ya kanisa
Yapo matukio ambayo ukiyasikia jinsi yalivyotokea inakuacha mdomo wazi na bila shaka utayapa jina la vijimambo! Na Yusuph Hassan. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mchungaji Mstaafu aitwae Will Johnson wa Michigan nchini Marekani ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Ibada wa…
17 September 2024, 9:00 pm
Gharama za umeme ni kikwazo cha maendeleo kiuchumi Ng’ong’ona
Licha ya jitihahada za Wakala umeme Vijijini (REA) kusambaza huduma ya umeme katika vijiji takribani 12,318 , wananchi wa Mtaa wa Ng’ong’ona Jijini Dodoma wamedai kuwa gharama ya kuvuta umeme kwa sasa ni kubwa Na Mindi Joseph. Wakala wa Nishati…
17 September 2024, 8:59 pm
Dunia yaadhimisha siku ya kimataifa ya kuhifadhi tabaka la Ozoni
Serikali imetakiwa kuanzia ngazi ya chini katika maadhimisho mbalimbali yanayo husiana na utunzaji wa mazingira ili kuwajengea uelewa wananchi. Na Mariam Kasawa Tanzania imeungana na Dunia kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kuhifadhi Tabaka la Ozoni (Ozone) amapo kauli mbiu ya…
17 September 2024, 8:59 pm
Chemba siyo sehemu ya utafutaji dada wa kazi
Upo utamaduni uliojengeka miongoni jamii kuwa Wilaya ya Chemba kuwa ni sehemu ya kutafuta wadada wa kazi Na Leonard Mwacha Upo utamaduni uliojengeka miongoni jamii kuwa Wilaya ya Chemba kuwa ni sehemu ya kutafuta wadada wa kazi kutokana na sababu…
17 September 2024, 8:59 pm
Shekimweri alaani tukio la mauaji Nala
Uchunguzi ambao unaendelea kufanywa na jeshi la Zima Moto na Uokoaji ukishirikiama na vyombo vingine unaonesha kuwepo kwa viashiria vya kulipiziana visasi. Na Nazael Mkude. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mh. Jabiri Shekimweri amelaani tukio la mauaji lililotokea 16 Septemba…
13 September 2024, 7:34 pm
Miganga wadhamiria ujenzi wa ofisi Serikali ya Mtaa
Kukamilika kwa ujenzi kwa ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa kutaboresha utoaji wa huduma kwa ufanisi kwa wananchi. Na Mindi Joseph. Ujenzi wa ofisi ya serikali ya Mtaa katika mtaa wa Miganga kata ya Mkonze jijini Dodoma ambao umeanza…