Dodoma FM

Recent posts

5 October 2021, 11:19 am

Wananchi watakiwa kupata elimu sahihi juu ya chanjo ya uviko 19

Na; Shani Nicolous. Kufuatia zoezi la kuendelea kujikinga na Uviko 19 Dodoma imeonekana kuwa na mwitikio mkubwa katika suala la uchanjaji. Akizungumza na Taswira ya habari Mkuu wa Wilaya ya Dodoma mjini Jabir Shekimweli amesema kuwa kuna mwitikio mkubwa wa…

5 October 2021, 11:04 am

Ukosefu wa Maabara wapelekea wanafunzi kushindwa kufaulu masomo yao

Na;Mindi Joseph . Ukosefu wa maabara kwa baadhi ya shule za sekondari imetajwa kuwa changamoto kwa wanafunzi kufanya vizuri katika masomo yao. Taswira ya habari imezungumza na baadhi ya wanafunzi kutoka shule zinazokabiliwa na changamoto ya miundombinu ya shule ambapo…

4 October 2021, 2:34 pm

Umeme waathiri upatikanaji wa maji Membe.

Na; Benard Filbert. Kuchelewa kuwashwa kwa nishati ya umeme wa tanesco katika kata ya Membe wilayani Chamwino imetajwa kuathiri upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa kata hiyo. Hayo yameelezwa na diwani wa kata ya Membe bwana Simon Macheo…

4 October 2021, 1:44 pm

Mkoa wa Dodoma unaongoza kwa kutoa chanjo ya uviko 19

Na; Selemani Kodima . Imeelezwa kuwa mkoa wa Dodoma unaongoza kwa utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Uviko -19 ambapo kati ya chanjo Elfu Hamsini ambazo zilitolewa kwa ajili ya Ugonjwa Uviko-19 ,tayari chanjo elfu thelathini zimetumika . Hayo yameelezwa na…

4 October 2021, 1:34 pm

Teknolojia yatajwa kukwamisha usomaji wa vitabu

Na; Thadei Tesha. Mwitikio wa jamii juu ya usomaji wa vitabu umeendelea kuwa wa wastani kutokana na ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya umuhimu wa kusoma vitabu hivyo ambapo kukua kwa teknolojia kukitajwa kuwa miongoni mwa visababishi. Wakizungumza na…

1 October 2021, 12:49 pm

Wananchi watakiwa kuunga mkono juhudi za asasi zisizo za kiserikali

Na; Nadhiri Hamisi. Wito umetolewa kwa wananchi kuunga mkono juhudi za asasi zisizo za kiserikali kwa kufuata huduma zinazotolewa na asasi hizo ili kuleta maendeleo nchini. Hayo yameelezwa na Bwana Jacob kessy Mkurugenzi wa shirika la youth royal empowerment organization…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger