Recent posts
11 October 2021, 12:45 pm
Wananchi washauriwa kuepuka matumizi ya pombe yaliyo pitiliza
Na; Benard Filbert. Jamii imeshauriwa kuacha kunywa pombe kupita kiasi ili kuepusha athari ambazo zinaweza kujitokeza ikiwemo matatizo ya akili. Hayo yameelezwa na Bi. Gladnes Munuo katibu mkuu kutoka taasisi ya TAANET ambayo inahusika na kupinga unywaji wa pombe kupita…
11 October 2021, 12:30 pm
Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayo husiana na…
Na; Yussuph Hans. Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili hapo jana, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili…
11 October 2021, 12:11 pm
Wanawake wa kijiji cha Chambogo Rorya wakabiliwa na mfumo dume unao wanyima haki…
Na; Pius Jayunga. Wanawake jamii ya Kijaruo katika Kijiji cha Chambogo Wilaya ya Rorya Mkoani Mara wanakabiliwa na changamoto ya mfumo dume ambao unawaathiri kimaendeleo kwa kunyimwa haki ya umiliki wa ardhi. Dodoma FM imezungumza na mmoja wa wanawake katika…
11 October 2021, 11:59 am
Athali za mabadiliko ya tabia nchi zachangia kuongezeka kwa kina cha maji ya ba…
Na; Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Jafo amesema athari za mabadiliko ya tabia Nchi zimechangia kuongezeka kwa kina cha maji ya bahari na kusababisha kisiwa cha maziwe Wilayani pangani na kisiwa cha…
7 October 2021, 12:31 pm
Kata ya Mtanana yahitaji huduma ya maji katika kijiji chake cha Soiti
Na ;Benard Filbert. Licha ya uwepo wa Vijiji vitano katika Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma imeelezwa bado kijiji kimoja kinakabiliwa na ukosefu wa mradi wa maji kwa wakazi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata…
7 October 2021, 12:16 pm
Wakazi wa Mpwayungu waaswa kuacha kuendekeza undugu katika masuala ya ukatili dh…
Na; Alfred Bulahya. Wakazi wa kata ya Mpwayungu wilayani Chamwino mkoani Dodoma, wametakiwa kuacha kuendekeza undugu katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto na badala yake washirikiane na mamlaka zinazosimamia masuala hayo ili kukomesha vitendo hivyo.…
7 October 2021, 11:59 am
Tume ya Taifa ya umwagiliaji yatarajia kutoa elimu kwa wakulima
Na;Mindi Joseph. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji inatarajia kuanza kampeni mwezi huu ya kutoa elimu kwa wakulima kuchangia ada kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji pamoja na kutatua changamoto ya skimu mbalimbali Nchini. Hayo yanajiri wakati Tanzania inakadiriwa kuwa…
6 October 2021, 1:11 pm
Kamati za ulinzi na usalama wa mtoto zatakiwa kuimarishwa ili kukabiliana na vit…
Na; Selemani Kodima. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameagiza kuimarishwa kwa Kamati za ulinzi na usalama wa mtoto ili zitumike kukabiliana na vitendo vya ukatili. Mh. Mwanaidi ametoa agizo hilo…
6 October 2021, 12:57 pm
EWURA yatangaza kupunguza tozo nane kwaajili ya kuwaletea unafuu wananchi
Na; Mindi Joseph . Mamlaka ya Nishati na Maji EWURA imetangaza kupunguza Tozo nane kwa ajili ya udhibiti wa EWURA na kuwaletea Unafuu wananchi. Akizungumza na Taswira ya habari Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema wamefanya…
5 October 2021, 11:31 am
Uhaba wa maji wasababisha migogoro ya ndoa katika kijiji cha Mpakani
Na ;Victor Chigwada. Huduma hafifu ya upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa changamoto kwa Wananchi wa kitongoji cha Mpakani Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa hali inayosababisha migogoro ya ndoa Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari…