Recent posts
28 October 2021, 7:39 am
Asasi za kiraia nchini zimetakiwa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa sen…
Na;Mindi Joseph. Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge amezitaka Asasi za Kirai nchini kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa sensa kufuatia kuwepo upotoshaji wa sensa kuhusiana na chanjo ya…
25 October 2021, 4:13 pm
Casino Intense Review
Artículos Well, here we go again with another online casino review! And this time it’s a newcomer called Intense Casino! The folks at Nettikasinot360 remember when they used to sing about a little farm on the island of Saimaa, Intense…
25 October 2021, 12:46 pm
Asasi za kiraia nchini zajadili mchango wake katika maendeleo ya nchi
Na;Mindi Joseph. Asasi za Kirai Nchini leo zimeketi pamoja katika mdahalo wa kujadili Mchango wake katika maendeleo ya Nchi na uchumi katika kuongeza pato la taifa na kupunguza umasikini kwa wananchi. Akizungumza leo katika Mdahalo huo Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation…
25 October 2021, 11:36 am
Mbegu ya Alizeti kuuzwa kilo moja kwa shilingi 3500/=
Na; Mariam Kasawa Serikali imesema kilo moja ya mbegu bora ya alizeti itauzwa kwa Sh.3,500 kwa wakulima ili kuinua kilimo hicho na kukabiliana na tatizo la upungufu wa mafuta ya kula nchini. Waziri wa Kilimo, Pro.Adolf Mkenda, aliyasema hayo kwenye…
25 October 2021, 11:28 am
Jamii yatakiwa kutumia mitandao ya kijamii kutafuta fursa mbalimbali
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa jamii kutumia mitandao ya kijamii kutafuta fursa mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi. Wito huo umetolewa na katibu wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania Rachel Charles Elio wakati akizungumza na Taswira…
25 October 2021, 11:02 am
Ugumu wa maisha unachangia tatizo la msongo wa mawazo kuongezeka
Na; Benard Filbert. Kutokana na vijana wengi kujikita Zaidi katika shughuli za utafutaji wa Maisha pindi mipango hiyo inaposhindwa kukamilika imeelezwa kuwa husababisha tatizo la msongo wa mawazo. Hayo yameelezwa na Nuru Julius ambaye ni mtaalamu wa saikolijia kutoka Chuo…
25 October 2021, 10:48 am
Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuvaa miwani ya urembo bila kufanya uchunguzi wa…
Na; Alfred Bulahya. Jamii imetakiwa kuacha tabia ya kuvaa miwani ya urembo bila kufanya uchunguzi wa miwani hiyo ili kuepusha kupata magonjwa yasiyo ya lazima. Wito huo umetolewa na mtaalamu wa afya kutoka hospital ya rufaa ya mkoa wa Dodoma…
23 October 2021, 3:23 pm
Baraza la Madaktari Tanganyika laridhia kufanyika kwa mtihani maalum kwa wanafun…
Na;Mindi Joseph . Baraza La Madaktari Tanganyika limeridhia na kuruhusu kufanyika kwa Mtihani Maalumu Kwa Wanafunzi Wa Udaktari Wanaotarajia Kujiunga Na Utarajali Huku Nafasi Hiyo ikilenga tu wale Waliokutana Na Changamoto Wakati Wakifanya Usajili Lakini Hawakuwa Na Vigezo. Akizungumza na…
23 October 2021, 2:48 pm
Wananchi watakiwa kushirikishwa kuweka mifumo bora ya kisera na kisheria
Na;Yussuph Hans. Asasi za kiraia Nchini zimetakiwa kuwa chachu ya kuleta maendeleo kwa kuisadia Serikali katika mipango mbalimbali ili kuwafikia wananchi wengi zaidi. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Rasilimali Racheal Chagonja wakati akizungumza na Dodoma Fm katika…
23 October 2021, 2:39 pm
Spika Ndugai azitaka Asasi za kiraia nchini kutatua changamoto za watanzania na…
Na;Mindi Joseph . Spika Wa Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh.Job Ndugai amezitaka Asasi Za Kiraia Nchini kutokutumika na badala yake zifanye Kazi Kwa Weledi na Uadilifu. Akizungumza Leo Jijini Dodoma Spika wa Bunge Job Ndugai wakati wa…