Dodoma FM

Recent posts

30 November 2021, 12:34 pm

Serikali yatarajia kuzindua ujenzi wa ofisi za wizara awamu ya pili

Na; Mariam Matundu. Serikali inatarajia kuzindua ujenzi wa ofisi za Wizara awamu ya pili zinazojengwa katika mji wa Serikali pamoja na uzinduzi wa huduma za kijami ikiwemo uwekaji wa jiwe la msingi kituo cha polisi chenye hadhi ya daraja la…

29 November 2021, 1:56 pm

Tanzania yaahidi kuendeleza ushirikiano na India

Na; Fred Cheti. Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Serikali ya Uganda katika mambo mbalimbali ikwemo katika masuala ya elimu na biashara ili kuendelea kukuza uhusiano uliopo baina ya nchi hizo. Hayo yamesemwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa…

29 November 2021, 1:33 pm

Wizara ya Ulinzi imesema itaendelea kuhakikisha nchi inakuwa salama

Na; Mindi Joseph. Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa imesema itaendelea kuhakikisha kuwa mipaka ya nchi inakuwa salama huku akiwahimiza wananchi kushiriki kikamilifu katika ulinzi wa nchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya…

29 November 2021, 1:05 pm

Vijana watakiwa kupunguza tabia hatarishi

Na; Shani Nicolous. Vijana wametakiwa kupunguza tabia hatarishi za maisha zinazosababisha kuogopa kupima Virus vya Ukimwi. Akizungumza na Taswira ya habari mtaalamu wa afya kutoka katika taasisi ya COHASO Teobad Abdon amesema kuwa vijana wengi wanajihusisha na mahusiano na watu…

26 November 2021, 1:53 pm

nyumba 150 za watumishi umma zimeanza kujengwa eneo la nzuguni

Na;Mindi Joseph . Jumla ya nyumba 150 za watumishi wa umma katika eneo la Nzuguni zimeanza kujenga kupitia Miradi inayotekelezwa na wakala wa majengo Tanzania TBA jijini Dodoma huku zikitarajiwa kukamilika mwezi June 2022. Akizungumza katika Ziara ya viongozi wa…

26 November 2021, 1:03 pm

Mamlaka ya Serikali mtandao yaja na mfumo wa E. mrejesho

Na; Shani Nicolous. Mamlaka ya serikali mtandao ipo hatua za mwisho za usanifu wa mfumo unaoitwa E. mrejesho ambao utasaidia wananchi kuanadika pongezi au changamoto katika taasisi zote za umma. Akizungumza na Dodoma fm kupitia kipindi cha Dodoma live Kamishna…

26 November 2021, 12:36 pm

Wanawake wapewe elimu ya kugombea nafasi mbalimbali

Na; Mariam Matundu. Tume ya taifa ya uchaguzi imeshauriwa kuwa inatoa elimu endelevu ya chaguzi mbalimbali hapa nchi ili kuwezesha wanawake kuelimika zaidi na kujitokeza kugombea nafasi za uongozi zinazojitokeza. Hayo yamesemwa na mbunge wa viti maalumu mkoa wa Mbeya…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger