Recent posts
8 October 2024, 6:39 pm
‘Skanka’ hatari kwa magojwa ya afya ya akili kwa wasichana Dodoma
Na Mariam Matundu. Wasichana jijini Dodoma wapo hatarini kupata magojwa ya afya ya akili kutokana na matumizi makubwa ya dawa za kulevya aina ya ‘skanka’. Akiwa katika mahojiano na Mariam Matundu mtangazaji wa Dodoma TV, Mkurugenzi wa taasisi ya Recovery…
8 October 2024, 6:35 pm
Dodoma yapata tuzo uboreshaji mazingira ya biashara na uwekezaji
Na Mariam Kasawa. Mkoa wa Dodoma umepokea tuzo ya TNBC kutokana na kufanikiwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Akiongea wakati wa kupokea tuzo hiyo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema tuzo hii ni heshima kubwa kwa…
7 October 2024, 7:04 pm
Zingatia mpangilio wa lishe kuepuka utapiamlo kwa mtoto
Na Stephen Noel Mpangilio wa lishe uzipozingatiwa ni chanzo kikubwa cha utapiamlo kwa mtoto hata kama endapo kuna wingi wa vyakula. Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto Bwn. Joshua Gedion amebainisha hayo wakati akiongea na Dodoma TV, katika kambi…
7 October 2024, 7:03 pm
Babu adaiwa kumlawiti mjukuu wake na kutoweka
Na Mindi Joseph. Babu anayedaiwa kumlawiti mjukuu wake wa miaka 12 katika Mtaa Ipagala jijini Dodoma ametoweka nyumbani kwake na hajulikani alipo baada ya kufanya tukio hilo mwishoni mwa wiki jana. Mwenyekiti wa mtaa wa Ipagala jijini Dodoma Bw. Elenei…
7 October 2024, 7:01 pm
Kongwa mfano wa kuigwa utekelezaji miradi ya maendeleo
Na Fred Cheti Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma imekuwa kinara katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule, amebainisha hayo katika ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo Wilayani Kongwa wakati akiambatana na…
7 October 2024, 6:59 pm
DUWASA waaswa matumizi ya kauli kwa mteja
Na Fred Cheti Watendaji wa mamlaka ya maji safi DUWASA wameaswa kutumia kauli njema katika kuwahudumia wananchi kikamilifu ili kupunguza malalamiko . Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Dodoma (DUWASA) Mha. Aron Joseph amesema hayo leo…
4 October 2024, 8:09 pm
Bashungwa amnyoshea kidole mkandarasi Dodoma
Na Fredi Cheti Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameonesha kutoridhishwa na kasi ya ujenzi na usimamizi wa barabara ya mzunguko wa nje ya jiji la Dodoma (Dodoma Ring Road ) kwa kiwango cha lami na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya AVIC…
4 October 2024, 8:09 pm
Elimu ya uongozi shuleni chachu kwa wasichana kuwania nafasi za uongozi
Na Mindi Joseph. Elimu ya uongozi kwa wanafunzi inawasaidia kujitambua kujiamini na na kuwajengea ari ya kuwa viongozi kwa siku za baadaye. Mwalimu Winfrida Maliga anasema elimu hiyo inawasaidia wanafunzi kutambua umuhimu wa kuwa viongozi wakiwa shuleni hata wakiwa katika…
4 October 2024, 8:08 pm
“Viongozi watarajiwa mjipange kutekeleza hoja za wananchi”
Na Lilian Leopold Kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27 mwaka huu, wananchi Mkoani Dodoma wamesema wamepata hamasa ya kuchagua viongozi sahihi watakaotatua changamoto zao. Wakizungumza na Dodoma TV baadhi ya wananchi hao wamebainisha kuwa wanatamani viongozi watakaochaguliwa watatue…
4 October 2024, 8:08 pm
Mkonze yajiimarisha kiulinzi kudhibiti mauaji na uhalifu
Na Nazaaeli Mkude Kufuatia tukio la mauaji la mama na binti lililotokea mnamo tarehe 19 Septemba mwaka huu katika kata ya Mkonze mtaa wa Muungano A, kata ya Mkonze, Jijini Dodoma, hali ya ulinzi imeimarishwa ili kudhibiti uendelevu matukio hayo…