Dodoma FM

Recent posts

5 April 2022, 1:37 pm

Uvutaji wa sigara hadharani upigwe marufuku

Na;Yussuph Hassan. Wananchi Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutilia mkazo suala la baadhi ya watu kuvuta sigara hadharani kwani suala hilo limekuwa na madhara makubwa kiafya. Wakizungumza na kituo hiki baadhi ya wakazi hao wamesema kuwa kutokana na baadhi ya watumiaji…

5 April 2022, 1:27 pm

Watu wenye ulemavu watakiwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali

Na; Shani Nicolous.                                      Watu wenye ulemavu wametakiwa kuacha kukaa na kuomba misaada badala yake watafute shughuli za kufanya ili wawezeshwe kufanikisha shughuli zao. Wito huo umetolewa na Bw. Stephano Nyange Bobo mkazi wa Nzuguni ambaye ni mlemavu wa viungo…

1 April 2022, 2:31 pm

Wakazi wa mtaa wa Itega walalamikia kuzagaa kwa takataka

Na; Neema Shirima. Wananchi wa mtaa wa Itega kata ya Nkuhungu jijini Dodoma wamelalamikia suala la kuzagaa kwa takataka katika maeneo hayo kutokana na kutokuwepo gari ya kuzoa takataka hizo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema magari yanayojishughulisha…

1 April 2022, 2:17 pm

Wakazi Jijini Dodoma watakiwa kuwa waadilifu juu ya matumizi ya maji

Na;Yussuph Hassan. Wakazi Jijini Dodoma wameshauriwa kuwa waadilifu katika matumizi ya Maji na kutoa taarifa panapotokea changamoto yoyote ya upatikanaji wa huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa na Meneja Ufundi wa Duwasa Emmanuel Mwakabore wakati  akizungumza na kituo hiki kufatia kuwepo…

30 March 2022, 3:25 pm

Wananchi wahitaji Elimu juu ya zoezi la anuani za makazi

Na; Neema Shirima.   Wananchi Mkoani Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu zaidi juu ya zoezi la anuani za makazi maarufu kama postkodi ambalo linaendelea kwa sasa katika kata zote za mkoani hapa. Taswira ya habari imefika katika katika mtaa wa Itega…

28 March 2022, 3:14 pm

Wanafunzi watakiwa kuacha kujihusisha na mapenzi

Na; Neema Shirima. Wanafunzi wa kike wameshauriwa kuachana na kujihusisha na mapenzi ili kuepuka kupata magonjwa mbalimbali ya zinaa kama vile ukimwi Haya yamezungumwa ikiwa imesalia mwezi mmoja wanafunzi wa kidato wa sita kufanya mitihani yao ya mwisho ya kuhitimu…

28 March 2022, 2:30 pm

Watoto wenye upungufu wa damu na maumivi ya viungo wametakiwa kupelekwa hospital…

Na;Yussuph Hassan.                                             Wito umetolewa kwa Wazazi na Walezi Jijini Dodoma kuwapeleka vituo vya afya watoto wenye upungufu wa damu na maumivu ya viungo mara kwa mara, kwani inawezekana ikawa moja wapo ya dalili ya ugonjwa wa seli mundu (siko…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger