Dodoma FM

Bahi kuongeza pato ujenzi vibanda vya biashara

14 October 2024, 7:56 pm

Na Leonard Mwacha.

Wilaya ya Bahi inatarajiwa kuongeza   pato  lake la ndani kutokana na ushuru wa vibanda  vya biashara pamoja na ushuru wa bishara  ndogo ndogo.

Bwn. Jeremia Maximilian mjumbe ngazi ya ustawi wa jamii  Bahi sokoni amesema  eneo ambalo litatumika kwa ajili ya ujenzi wa  vibanda na biashara ndogo ndogo hapo  litasaidia kuleta maendeleo katika ngazi ya kijiji.

Bwn. Jeremia Maximilian mjumbe ngazi ya ustawi wa jamii  Bahi sokoni
Sauti ta Bwn. Jeremia Maximilian

Aidha wafanyabiashara ndogo ndogo  wamepongeza hatua ya iliyofikiwa na kufanya eneo hilo kuwa ni sehemu ya biashara na kwani  itawaondolea adha ya kufanya biashara tembezi. 

Pichani mfanyabiashara ndogo ndogo akipongeza hatua iliyofikiwa ya ugawaji wa maeneo ya biashara
Sauti za wafayabiashara ndogo ndogo
Pichani mwananchi akipongeza hatua iliyofikiwa ya ugawaji wa maeneo ya biashara