Dodoma FM
Dodoma FM
27 October 2025, 3:55 pm

Leo tunaangazia ukatili unaowakabili watu wakati wa kampeni za kisiasa.
Na Seleman Kodima
Tunaungana na Anthony Makinda, kijana kutoka Chang’ombe, ambaye anasimulia ukatili alioupitia wakati wa kipindi cha kampeni.