Dodoma FM
Dodoma FM
15 July 2021, 11:38 am
Na; Shani Nicolous. Baada ya uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuandaa kampeni ya zero migogoro ya ardhi Mkoani Dodoma Serikali imeongeza siku ili zoezi hilo lidumu kwa muda wa mwezi mzima kwa ajili ya kuendelea kusikiliza na kutatua migogoro hiyo.…
14 July 2021, 1:49 pm
Na; Benard Filbert. Wanaume katika kata ya Chiwe wilayani Kongwa wametakiwa kuepuka kutelekezea wanawake majukumu ya familia ikiwemo kusomesha watoto na badala yake washiriki kwa pamoja. Hayo yameelezwa na Diwani wa Kata ya Chiwe Bw. Dastan Chinyali wakati akizungumza na…
14 July 2021, 1:28 pm
Na; Shani Nicolous. Imeelezwa kuwa mwanamke anahaki ya msingi ya kumiliki ardhi kama ilivyo kwa upande wa mwanaume katika familia kwa mjibu wa sheria. Akizungumza na Dodoma fm msaidizi wa kisheria kutoka halmashauri ya Wilaya ya Bahi Bw. Yona Sakaza…
14 July 2021, 12:49 pm
Na;Yussuph Hans. Ugumu wa maisha na msongo wa mawazo bado vimeendelea kuwa miongoni mwa sababu zinazopelekea wimbi la baadhi ya vijana kuingia katika matumizi ya dawa za kulevya. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya vijana waliokuwa watumiaji wa dawa…
14 July 2021, 12:16 pm
Na; Victor Chigwada. Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wamekuwa na maoni tofauti juu ya dhana ya uchunguzi wa chanjo ya Uviko 19 ambayo bado haijathibitishwa kutolewa hapa Nchinini Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi…
13 July 2021, 1:20 pm
Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…
13 July 2021, 12:48 pm
Na;Mindi Joseph . Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mh Mizengo Pinda amelishauri Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali NaCONCO kuwa daraja la kusaidia vijana kuchangamkia fursa za kilimo na ufugaji. Mhe.Pinda amebainisha hayo nyumbani kwake kijijini Zuzu Mkoani…
13 July 2021, 12:35 pm
Na; Shani Nicolous. Wakazi jijini Dodoma wamehimizwa kuchukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya uviko kwani ugonjwa huo ni hatari ulimwenguni kote. Akizungumza na Dodoma fm Dr. Nassoro Ally Matuzya na maratibu wa elimu ya afya kwa umma mkoa wa…
12 July 2021, 1:16 pm
Na; Shani Nicolous. Baadhi ya wanaume katika kata ya Bahi Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma wanadaiwa kufanya unyanyasaji wa kiuchumi katika familia zao hususani katika kipindi hiki cha msimu wa mavuno. Hayo yamesemwa na Diwani wa kata hiyo Bw. Agustino…
12 July 2021, 12:32 pm
Na; Benard Filbert. Wakazi wa mtaa wa Mkoyo kata ya Hombolo Jijini Dodoma waeombwa kuzingatia bei halali ya uingizaji wa umeme wa REA ambayo ni elf 27 na sio vinginevyo. Tahadhari hiyo imetolewa na Diwani wa Kata ya Hombolo Bw.…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-