Dodoma FM
Dodoma FM
6 October 2025, 11:43 am
Aidha, amesema changamoto kubwa kwa vijana wengi wa sasa ni kutegemea wazazi wao badala ya kujituma na kupambana kwa ajili ya maisha yao, hali inayowadumaza kimaendeleo. Picha na Blog. Muhuri amesema ukosefu wa kipato umesababisha baadhi ya wasichana kujiingiza kwenye…
6 October 2025, 11:11 am
Picha ni Mganga Mkuu jiji la Dodoma Dkt. Pima Sebastian na wadau wakifungua jengo la mama na mtoto zahanati ya Chamwino. Picha na Lilian Leopold. Mradi huo ambao ulianza kutekelezwa mwaka 2018 na kukamilika mwezi Septemba 2025, umekuwa miongoni mwa…
3 October 2025, 11:22 am
Licha ya elimu iliyotolewa mwanzoni mwa mpango huo lakini bado haikueleweka kwa wananchi wengi. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kijiji cha Chanhumba Kata ya Handali Wilaya ya Chamwino wamesema imekuwa ni vigumu kupokea zoezi la urasimishaji wa ardhi kwa kuhofia…
3 October 2025, 10:51 am
Picha ya pamoja ya watumishi wa umma na Naibu Katibu Mkuu Bi. Hilda Kabissa alipokuwa akifungua kikao kazi cha sita cha wadau wa usimamizi wa maadili ya kitaaluma na utendaji. Picha na Selemani Kodima. Hili linajiri baada ya Ofisi ya…
2 October 2025, 5:17 pm
Picha ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Doroth Gwajima. Picha na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum. Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba ya Tanzania imeweka…
2 October 2025, 4:23 pm
Picha ni baadhi ya mabondia watakaoshiriki katika Kibaigwa vitasa mitano tena. Picha na Hamis Makila. Kwa mujibu wa mratibu, mabondia mbalimbali kutoka maeneo tofauti ya mkoa wa Dodoma na nje yake wamethibitisha kushiriki. Na Hamis Makila. Kuelekea pambano la ngumi…
2 October 2025, 3:42 pm
Mikopo hiyo inawapa faida zaidi ikilinganishwa na mikopo mingine ya mtaani ambayo mara nyingi ina riba kubwa. Na VictorChigwada. Vijana wa Kata ya Msamalo, Wilaya ya Chamwino, wameipongeza serikali kwa kujali kundi la vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu kwa…
2 October 2025, 1:23 pm
Kupitia mfumo wa NeST, vikundi vya kijamii sasa vinaweza kushiriki kikamilifu katika manunuzi ya serikali kupitia usajili mtandaoni, kuomba zabuni, na kufuatilia hatua za maombi yao. Na Lilian Leopold . Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanya kikao na vikundi mbalimbali…
2 October 2025, 11:05 am
Hali hiyo inatokea zaidi ya miaka mitano tangu kuanzishwa kwa mradi mkubwa wa kisima cha maji, ambao ulitarajiwa kumaliza tatizo la uhaba wa maji safi na salama katika vijiji vya kata hiyo. Picha na RUWASA. Wameeleza kuwa hali hii imeendelea…
1 October 2025, 5:40 pm
Ligi hiyo ambayo hufanyika kila mwaka inalenga kuinua vipaji vya wachezaji chipukizi pamoja na kuongeza hamasa ya michezo katika jamii ya Dodoma. Picha na Hamis Makila. Hadi hivi sasa imechezwa michezo miwili na ligi inatajaria kuendelea Oktoba 04 na 05.…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-