Dodoma FM

Recent posts

13 October 2025, 11:51 am

Wanasiasa wahimizwa kufanya kampeni kwa amani

Viongozi kisiasa watakiwa kutambua umuhimu wa kulinda amani ya nchi kwenye kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Picha na Mtandao. Rai hiyo imetolewa na Askofu Evance Chande alipokuwa akihubiri kwenye ibada iliyofanyika kanisani hapo lililopo Ipagala Mkoani Dodoma. Na Selemani…

13 October 2025, 11:22 am

Watanzania wahimizwa kulinda amani wakati wa uchaguzi

Picha ni Mwanasheria wa Baraza la Machifu Tanzania akizungumza na waandishi wa habari mkoani Dodoma. Picha na Selemani Kodima. Watanzania watakiwa kujihadhari na taarifa zisizo sahihi zinazotolewa kwenye mitandaoni ya kijamii zenye lengo la kupotosha umma kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba…

13 October 2025, 10:45 am

Wagonjwa wa mtoto wa jicho wapatiwa matibabu Chamwino

Baadhi ya wananchi wamegundulika kuwa na tatizo la mtoto wa jicho, jambo lililosababisha changamoto za kuona kwa baadhi yao. Picha na Mtandao. Kupitia kambi ya huduma za macho, wagonjwa hao wamepatiwa matibabu ikiwemo upasuaji mdogo, hatua iliyowawezesha kurejesha uwezo wao…

13 October 2025, 10:06 am

Vyumba 16 vya madarasa vyaleta matumaini kwa wanafunzi wa Mjeloo

Hatua hii itasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi na kuimarisha mazingira ya kujifunzia. Picha na Mtandao. Kupitia mradi wa BOOST, serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kujenga na kukarabati vyumba vya madarasa nchi nzima. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji…

10 October 2025, 3:16 pm

Ulaji wa mayai unavyoimarisha afya, lishe bora

Kupitia siku hii, jamii inatakiwa kutambua umuhimu wa mayai, kwani kupitia ulaji wa mayai, familia zinaweza kupunguza utapiamlo na kuimarisha afya za watoto. Na Anwary Shaban. Siku hii, inayoadhimishwa kila mwaka mwezi Oktoba, inalenga kuongeza uelewa kuhusu nafasi ya yai…

10 October 2025, 11:33 am

Wafanyakazi viwanda vya chai wahakikishiwa kupata haki zao

Aidha, amebainisha kuwa serikali inaendelea na mchakato wa kuhakikisha kuwa viwanda hivyo vinarejea katika hali ya uzalishaji ili kuimarisha uchumi wa wananchi wa Rungwe na kuongeza tija katika sekta ya kilimo cha chai nchini. Na Selemani Kodima. Katibu Mkuu wa…

10 October 2025, 11:05 am

Senyamule ahamasisha ushiriki wa wazee katika uchaguzi

Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamula katika kikao maalum kilichowakutanisha na wazee wa mkoa. Picha na Selemani Kodima. Kikao hicho kimehitimishwa kwa maazimio ya pamoja ya kuimarisha ushirikiano kati ya viongozi wa serikali na wazee katika…

9 October 2025, 5:17 pm

Wanawake, vijana na wenye ulemavu wapata elimu ya mikopo

Picha ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Khatibu Kazungu, wakati akifungua mafunzo kwa vikundi , katika ukumbi wa Nala Hotel, Jijini Dodoma. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.Dkt. Kazungu amesema mafunzo hayo yanalenga kuongeza ujuzi na maarifa…

9 October 2025, 3:42 pm

Mradi wa zabibu Hombolo kuleta neema kwa wakulima

Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa ziara yake katika eneo la Hombolo. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Aidha, amesema mradi huo ni wa mfano wa kuigwa nchini, na utawasaidia wakulima wengine kujifunza…

9 October 2025, 12:32 pm

Matumizi ya mtandao yazingatiwe kuongeza ubunifu

Matumizi sahihi ya mtandao yanachangia kukuza ubunifu na maarifa katika nyanja mbalimbali. Kupitia teknolojia hii, watu wanaweza kupata taarifa, kujifunza mbinu mpya, na kubuni mawazo yatakayochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Picha na Google. Bi. Lawi ameongeza kuwa mtu anaweza…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger