Dodoma FM

Recent posts

17 October 2025, 10:10 am

Sikiliza mtiririko wa kipindi cha Sauti ya Tiba

Picha ni studio za Dodoma FM Redio zilizopo Miyuji Jijini Dodoma. Picha na Noah Patrick. Karibu katika mwendelezo wa sehemu ya tano ya igizo la sauti ya tiba kutoka Dodoma FM. Na Mariam Kasawa.Karibu sana msikilizaji kusikiliza kipindi cha Sauti…

16 October 2025, 10:32 am

Sikiliza mtiririko wa kipindi cha Sauti ya Tiba

Picha ni studio za Dodoma FM Redio zilizopo Miyuji Jijini Dodoma. Picha na George John. Karibu katika sehemu ya tano ya igizo la sauti ya tiba kutoka Dodoma FM. Na Mariam Kasawa.Karibu sana msikilizaji kusikiliza kipindi cha Sauti ya Tiba…

15 October 2025, 3:59 pm

Maafisa Dodoma wapatiwa mafunzo ya uwekezaji

Mafunzo kwa Maafisa Viwanda na Uwekezaji mkoani Dodoma yamelenga kuongeza ufanisi na kupunguza urasimu katika utoaji wa huduma kwa wawekezaji kupitia matumizi ya mifumo ya kisasa ya usajili wa makampuni na biashara. Na Lilian Leopold. Maafisa Viwanda na Uwekezaji kutoka…

15 October 2025, 12:27 pm

Wazazi waonywa kuhusu ukatili kwa watoto

Ukatili unaofanywa na wazazi kwa watoto umechangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoishi kwenye vituo vya malezi. Na Selemani Kodima. Wizara  ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake na makundi maalumu imesema itaendelea kuwachukulia hatua za kisheria…

14 October 2025, 2:33 pm

Pambano la ngumi Kibaigwa laahirishwa, mabondia wachunguzwa afya

Picha ni baadhi ya mabondia watakaoshiriki katika pambano la ngumi Kibaigwa. Picha na Hamis Makila. Pambano la ngumi Kibaigwa limeahirishwa hadi Oktoba 25 huku mabondia wakipimwa afya zao kabla ya kushiriki. Na Hamis Makila. Pambano la ngumi lililopangwa Kibaigwa limeahirishwa…

14 October 2025, 1:46 pm

Watoto wenye ulemavu wa utindio wa ubongo wakosa huduma muhimu

Watoto wenye ulemavu wa utindio wa ubongo wanahitaji msaada wa kitabibu, lishe, na mazoezi, huku wazazi wakipokea mwongozo kutoka serikalini na taasisi za kiraia. Na Anwary Shaban. Watoto wenye ulemavu wa utindio wa ubongo wanakabiliwa na changamoto za kupata huduma…

14 October 2025, 1:02 pm

Kawawa yakosa umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi

Kutokana na changamoto hiyo wananchi waiomba serikali kuongeza nguvu ya umeme ili kukidhi mahitaji ya jamii. Na Victor Chigwada. Wakazi wa Kitongoji cha Kawawa, Kijiji cha Chanhumba, wameiomba serikali kuongeza nguvu ya upatikanaji wa nishati ya umeme katika eneo hilo,…

14 October 2025, 12:36 pm

Mvua zatatiza shughuli Idifu, wananchi waomba daraja

Hali hiyo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wakulima na wafanyabiashara hasa msimu wa masika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya Mugu na Mjiha, vilivyopo Kata ya Idifu, Wilaya ya Chamwino, wameiomba serikali kujenga daraja katika eneo la Nyika, ambalo…

14 October 2025, 12:13 pm

Changamoto ya maji Chanhumba karibu kutatuliwa

Hatua ya kufungwa kwa transifoma mpya katika kijiji cha Chanhumba italeta faraja kwa wananchi waliokuwa wakikabiliwa na upungufu wa maji. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Chanhumba, Kata ya Handali, Wilaya ya Chamwino, wameanza kupata matumaini juu ya utatuzi…

13 October 2025, 1:50 pm

Dodoma Jiji FC yamtumia kocha wa muda kuongoza timu

Picha ni aliyekuwa Kocha Mkuu wa Dodoma jiji FC Vicent Mashami. Picha na ukurasa wa Dodoma Jiji FC Kwa mujibu wa kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara, kila timu inatakiwa kuwa na kocha mwenye leseni ya kiwango kinachokubalika na Shirikisho…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger