Dodoma FM
Dodoma FM
1 October 2025, 4:53 pm
Miundombinu ya maji kuharibika mara kwa mara hasa mabomba kupasuka, hali inayosababisha visima na vituo vya maji kushindwa kutoa huduma ya uhakika. Picha na RUWASA. Wananchi hao wamesema kuwa hapo awali baadhi ya visima vilisimamiwa na kamati za huduma ya…
1 October 2025, 4:21 pm
Sheria ya Wenye Nyumba na Wapangaji – Toleo la 2009) ya Tanzania lengo lake ni kuhakikisha uwiano wa haki na wajibu kati ya mwenye nyumba na mpangaji, kuzuia migogoro, na kutoa mfumo wa kisheria wa kutatua mizozo ya upangaji. Picha…
1 October 2025, 4:00 pm
Pichani ni baadhi ya wananchi waliojitokeza katika Maadhimisho ya Siku ya Afya na Lishe kata ya Matumbulu. Picha na Lilian Leopold. Elimu hii inalenga kupunguza tatizo la udumavu kwa watoto wenye umri wa miaka mitano na kushuka chini. Na Lilian…
1 October 2025, 12:04 pm
Wamesema hali hiyo imewavunja moyo kuendelea kutumikia wananchi bila malipo ya kifuta jasho.Wanaiomba serikali kuwatambua kama sehemu ya ngazi za uongozi na kuwapa posho za kila mwezi. Picha na Blogsport. Kilio hiki cha wenyeviti kukosa mishahara au kifuta jasho kimeendelea…
30 September 2025, 5:10 pm
Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani hufanyika Oktoba 1 kila mwaka, yakilenga kutambua mchango wa kundi hilo na kuhamasisha jamii kuendelea kuliheshimu, kulilinda na kulipatia huduma bora. Na Mariam Matundu.Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wazee Duniani, Serikali…
30 September 2025, 4:57 pm
Karibu msikilizaji kusikiliza igizo la sauti ya tiba linalo kujia kupitia Dodoma fm redio.
30 September 2025, 2:34 pm
Kupitia mradi huo, vijana wanapewa mafunzo ya kilimo chenye tija, ujasiriamali, elimu ya fedha, na uelewa wa mnyororo wa thamani wa mazao. Na Seleman Kodima. Licha ya sekta ya kilimo kuchangia ajira kwa Watanzania kwa Asilimia 65.5, bado imeendelea kukumbwa…
30 September 2025, 1:16 pm
Jitihada hizo pia zimeongeza ufanisi wa ufundishaji, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya kufundishia vilivyoboreshwa kupitia michango ya wazazi. Na Victor Chigwada.Imeelezwa kuwa jitihada za wazazi katika Shule ya Sekondari Ihumwa zimekuwa chachu ya kuongeza upatikanaji wa walimu wa masomo ya…
30 September 2025, 12:53 pm
Changamoto kubwa ni kukosekana kwa umeme wa kutosha wa kusukuma mashine za visima vilivyopo. Na Victor Chigwada.Wananchi wa kijiji cha Iwondo, Kata ya Dabalo, Wilaya ya Chamwino wameiomba Mamlaka ya Usimamizi wa Maji Safi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA)…
29 September 2025, 3:10 pm
Kongamano hilo limewakutanisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari mkoani Dodoma na maeneo jirani, kwa lengo la kujenga uelewa wa pamoja kuhusu namna ya kuripoti habari za uchaguzi kwa ufanisi, pamoja na kuongeza ulinzi na usalama wa waandishi…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-