Dodoma FM

Vifahamu visababishi vya ugonjwa wa macho

26 September 2024, 7:52 pm

Na Yussuph Hassan.
Tabibu Msaidizi kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu Jiji la Dodoma Pepertua Kasase amesema kuwa  ugonjwa wa macho unaweza kusababishwa na historia ya mgojwa mwenyewe endapo kama alishawahi kupata ugonjwa huo siku za nyuma  au mazingira aliyopo kwa sasa.

Tabibu Msaidizi kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma Pepertua Kasase
Sauti ya Bi. Pepertua Kasase

Wataalam wa afya ya macho wanaishauri jamii kuwa na utaratibu wa kupima afya ya macho mara kwa mara na kutotumia dawa kiholela kwani magonjwa ya macho yanatibika  endapo tatizo litabainika mapema kadiri iwezekananvyo.

Daktari akiwa katika uchunguzi wa matatizo ya macho kwa mgonjwa