Dodoma FM
Asili ya chakula cha kabila la warangi
8 August 2024, 5:22 pm
Ni aina gani ya nafaka hutumiwa zaidi na wakazi wa eneo hili katika chakula na wanapotengeneza pombe za kienyeji?
Na Yussuph Hassan.
Bado tupo katika kata ya Kingale na leo mwenyeji wetu anatueleza chakula cha asili kinachotumiwa na kabila hili la warangi.