Dodoma FM
Unawajibikaje kuhakikisha msichana aliyejifungua anarudi shule?
22 July 2024, 7:05 pm
Mimba za utotoni ni pale mtoto wa kike wa kuanzia umri wa miaka 10 hadi 19 anapopata ujauzito na kujifungua.
Na Mwandishi wetu.
Katika kuchimba suala hili, leo tumefanya mahojiano na Meneja Utafiti na Uchambuzi wa Sera kutoka taasisi ya HakiElimu Bw. Mwemezi Makumba na hapa anaeleza zaidi.