Dodoma FM

Rushwa ya ngono yapungua vyuo vikuu Dodoma

8 July 2024, 4:37 pm

Picha ni Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma John Joseph akiongea na Dodoma Tv. Picha na Mindi Joseph.

Mara nyingi rushwa ya ngono hufanyika baina ya watu wawili na endapo aliyetendewa atatoa taarifa TAKUKURU huchukua hatua.

Na Mindi Joseph.
Vitendo vya rushwa ya ngono katika vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma vimetajwa kupungua.
Hayo yamebainisha na Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma John Joseph anasema awali walikuwa wanapokea taarifa za rushwa ya ngono.

Ameongeza kuwa huenda wanaotendewa hawapo tayari kuripoti vitendo hivyo kwa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa hali inayosababisha kutopokea taarifa hizo.

Sauti ya John Joseph .